manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,058
aaah hamna chemistry hapo mkuu mi nahisi ana nyumba ndogoSasa kadogoo kange mfikisha wapi?huyo mama ana hekima na kijana full force ambitious, a perfect match!
na mapaparazi wazungu walivyo wambeya watayafukua tu makaburi yake huyo prez