Rais wa Tanzania 2030

Rais wa Tanzania 2030

Wooote wanaopiga jalamba na kujiset sasa hivi, hakuna hata mmoja atakayekuwa Rais wa nchi hii.

Ndio, nimesema hivyo. Na nitasimama hapo.

Wale wanaotumia pesa, wanaotumia nguvu, wanaotumia vyombo vya habari kujijenga kuwa ni wao ndio wajao, wote wanajidanganya. 2030 si 2025. 2030 si mwaka wa kawaida wa uchaguzi. 2030 ni mwaka wa kupasuka na kujengwa upya kwa Taifa.

Uchambuzi wangu uta-base sehemu 3: 1. Mwelekeo wa Siasa, 2. Madokezo Kadhaa Ndani ya Nchi, 3. Mkwamo Kisiasa.

Tuanze.

1. MWELEKEO WA KISIASA

Tukubaliane kwanza jambo moja la msingi: Rais ajae wala hajatajwa na yeyote.

Yule atakayekuwa Rais wa 2030, leo hii jina lake halipo midomoni mwa watu. Halipo kwenye magazeti. Halipo kwenye mitandao. Kama lipo, basi lipo kimya kimya, kwenye vikao vya ndani kabisa.

Wote wanaofanya maigizo sasa watapata shida. Shida kubwa. Hasa ajali kisiasa ndani ya Chama na ndani ya Serikali.

Kwanini? Kwa sababu siasa za kutafuta kwa nguvu, siasa za kujipendekeza, siasa za kutoa rushwa ili upendwe, siasa za kutumia vyombo vya dola kuwamaliza wenzako — zimechoka. Zimefika mwisho.

Naona kabisa, siasa za namna hiyo zikikoma mwaka 2028.

2028 utakuwa mwaka wenye mwanga kwenye Taifa la Tanzania. Mwaka ambao historia itaandikwa upya. Kwa sababu reforms nyingi zitafanyika. Reforms za kweli, sio za kwenye karatasi. Reforms zitakazosukuma CCM kuwa makini mara 100 zaidi na Mgombea watakayemteua.

CCM itajua: Kama tukikosea mgombea 2030, tumekwisha. Kama tukileta mtu wa jalamba, mtu wa kujiset, mtu asiyekubalika, tutapoteza nchi asubuhi na mapema.

Na hapa ndipo Turufu ilipo:

Kama reforms zikifanyika vema, na Upinzani wakajipanga vema, wanashinda asubuhi na mapema!

Sio usiku. Sio jioni. Asubuhi na mapema. Kwa sababu wananchi wamechoka. Wananchi wanataka mabadiliko ya kweli. Hawataki tena maneno matamu. Wanataka mtu wa vitendo.

Kwa hiyo 2028 ndio mwaka wa kuamua. 2028 ndio mwaka wa kuweka msingi. Yeyote atakayecheza vibaya 2028, 2030 hatakuwepo hata kwenye karatasi ya kupigia kura.

2. MADOKEZO KADHAA YA NDANI

Hapa ndipo penye siri kubwa.

Rais wa 2030 nishaambiwa ni nani.
Hata mwenzangu we Pascal Mayalla unamjua

Ndio, nimeshaambiwa. Na watu wa ndani kabisa. Lakini kutomuharibia, ngoja nisimtaje jina lake hapa. Kwa sababu kwa sifa alizo nazo, anamzidi tuliyenaye sasa mara 100.

Mara 100 kwa utulivu. Mara 100 kwa akili. Mara 100 kwa kukubalika. Mara 100 kwa kutokuwa na doa la rushwa.

Ni mtu ambaye hata adui zake wanamuheshimu. Ni mtu ambaye hahitaji kupiga kelele ili aonekane. Kazi yake inamzungumzia.

Lakini, asipokuwa yeye, basi huyu wa kizuizini ananyanyua ndoo mapema.

Ninazungumzia MKIZUIZI

MKIZUIZI ni jina ambalo haliwezi kufutika kwenye siasa za Tanzania. Unaweza kumfunga. Unaweza kumzuia. Unaweza kumweka kizuizini. Lakini huwezi kumfuta mioyoni mwa Watanzania.

MKIZUIZI akinyanyua ndoo mapema, mambo yatabadilika ghafla. Kwa sababu MKIZUIZI ana kitu ambacho wengine hawana: Sympathy ya Taifa.

Baada ya yote aliyopitia, baada ya kufukuzwa, baada ya kuwekwa kizuizini — Watanzania wanamwona kama shujaa. Wanamuona kama mtu aliyejitoa kwa ajili yao.

Na kama LISSU atagombea, basi Serikali ya Muungano wa Kitaifa haiwezi kuepukika.

Kifupi: Upinzani na CCM wanaweza kuungana kutengeneza serikali, hata kama KATIBA haisemi hivyo. Hata kama sheria haisemi hivyo.

Kwanini? Kwa sababu kutakuwa na Tragedy itakayotokea. Tragedy ambayo itawalazimu watu waketi mezani, na bandeji kichwani, kuandika makubaliano mapya ya Taifa. Sio kwa kupenda, bali kwa kulazimishwa na hali.

Watu wataulizana: Tunataka nchi iungue au tunataka tuketi tujadiliane?

Na hapo ndipo MKIZUIZI atakuwa muhimu. Kwa sababu ndani ya CCM wenyewe, yeye ni miongoni mwa Top 5 wanaokubalika bila rushwa wala sarakasi. Na anamkubali Lissu mbaya sanaaa

Ndiyo, umesikia vizuri. Hata ndani ya CCM, wapo wanaomkubali LISSU. Wapo wanaosema: Huyu mtu ni msafi. Huyu mtu ni mkweli. Huyu mtu hana unafiki.

Mbaya zaidi kwa wapinzani wake, sasa kaongezewa ka-sympathy ka kufukuzwa na kuwekwa kizuizini. Kila siku anapokuwa ndani, umaarufu wake unaongezeka nje. Kila siku anaponyamazishwa, sauti yake inasikika zaidi.

Kwanini MKIZUIZI atalazimika kugombea? Kwa sababu Taifa litamhitaji. Kwa sababu hakuna mwingine atakayeweza kuunganisha pande mbili zilizogawanyika. CCM itamhitaji ili iponyoke.

Na hapa ndipo jina la EMMANUEL NCHIMBI linaingia.

NCHIMBI ni mtu wa kimya kimya lakini ni mchezaji mkubwa sana ndani ya CCM. NCHIMBI anajua Chama ndani nje. NCHIMBI anajua Serikali ndani nje. NCHIMBI si mtu wa jalamba. NCHIMBI si mtu wa kujiset. NCHIMBI ni mtu wa mfumo.

Kama CCM itataka ku-survive 2030, itamlazimu imsikilize NCHIMBI. Kwa sababu NCHIMBI ndiye anayeweza kusema ukweli mchungu ndani ya Chama: Tukileta mtu mbovu, tumepoteza nchi.

NCHIMBI na LISSU, kwa namna moja au nyingine, ni majina mawili ambayo yatakuwa katikati ya meza ya 2030. Mmoja ndani ya mfumo, mwingine nje ya mfumo. Lakini wote wawili wanakubalika.

Kama NCHIMBI ataamua kusimama na ukweli, na LISSU ataamua kunyanyua ndoo basi mchezo unabadilika kabisa.

3. MKWAMO KISIASA

Sasa tuje kwenye sehemu ambayo watu wengi hawataki kuiongelea, lakini harufu yake inasikika.

Kuna harufu ya Jeshi kuja kushika nchi kutokana na mkwamo kisiasa.

Sio uvumi wa mtaani. Ni harufu ya kweli. Ndani si kuzuri. Hali ndani ni tete. Watu wamegawanyika. Viongozi wamegawanyika. Chama kimegawanyika. Nchi imegawanyika.

Kama mkwamo huu utaendelea, kama reforms zikicheleweshwa, kama 2028 ukipita bila suluhisho, basi mkwamo utafika kileleni baada ya 2030.

Na hapo ndipo Jeshi linaweza kujaribu kuingia.

Lakini nikuambie ukweli mchungu:

Wakijichanganya Jeshi si zuri kushika nchi.

Kwanini? Kwa sababu wao uwa wakishashika hawatoki. Wanakuwa na kamchezo ka kupinduana!

Leo huyu anampindua huyu, kesho huyu anampindua huyu. Nchi inakuwa uwanja wa kupinduana. Maendeleo yanasimama. Demokrasia inakufa. Na mwisho, wananchi ndio wanaumia.

Jeshi lina kazi yake: Kulinda mipaka, kulinda Taifa dhidi ya adui wa nje. Sio kushika madaraka. Kama Jeshi likishika madaraka, halitoki kirahisi. Na historia ya Afrika inatuambia hivyo wazi wazi.

Kwa hiyo, suluhisho sio Jeshi. Suluhisho ni MEZANI.Suluhisho ni mazungumzo. Suluhisho ni Serikali ya Muungano wa Kitaifa ambayo itazaliwa baada ya tragedy, kabla Jeshi halijajaribu kuingia.

Tunapaswa kuzuia Jeshi kuingia kwa kufanya reforms mapema. Kwa kuleta mgombea sahihi. Kwa kumruhusu LISSU na wengine kushiriki kwa haki. Kwa kumsikiliza NCHIMBI na wengine wanaosema ukweli ndani ya CCM.

Kama tukifanya hivyo, Jeshi litabaki barracks. Kama tukikataa, Jeshi litatoka barracks.

NA NDEJA?

Hapa lazima niongee na moyo mzito.

NDEJA anaweza kama Mungu atafanya jambo kabla ya 2030.

Jambo ambalo hatutaki. Jambo ambalo ninaliona, lakini ninaomba lisitokee.

Kama jambo hilo likitokea, basi hesabu zote za 2030 zitabadilika ghafla. Mchezo wote utabadilika. Majina yote ya sasa yatapotea. Na Taifa litaingia kwenye kipindi kigumu sana cha maombolezo na sintofahamu.

Sitamani. Siombe. Lakini naliona. Na ndio maana ninasema: Tusifanye mzaha na 2030. Tujipange mapema. Tumwombe Mungu atulinde.

HITIMISHO

Kwa hiyo, nirudie tena:

Wote wanaopiga jalamba na kujiset sasa, hakuna atakayekuwa Rais.

Rais wa 2030 ni mtu mwingine kabisa. Mtu ambaye hajatajwa. Au kama sio yeye, ni LISSU.

Na kama ni LISSU, basi Serikali ya Muungano wa Kitaifa haiwezi kuepukika.

Na kama tukikataa kuungana, basi mkwamo utaleta harufu ya Jeshi.

Chaguo ni letu. 2028 ndio mwaka wa kuamua. 2030 ndio mwaka wa kulipa.

Watu wanauchukulia 2030 powa powa. Lakini 2030 ndio mwaka utakaoamua kama Tanzania inabaki kuwa Tanzania, au inakuwa kitu kingine kabisa.

Mwisho: KATIBA MPYA NA REFORMS NI MUHIMU
Britanicca
Ok Sangwenya,
shukrani kwa porojo useless jukwaani 🐒
 
Upupu🚮
Anza kuvujisha siri za kambi zenye faida kwa upande wa upinzani pamoja na nchi kwa ujumla.
Twambie akina polepole , mdude ,Ben sanane ,soka na wengine wapo wapi mpaka sasa .

kama kweli wewe ni mtu wa system na unapata taarifa za ndani sio kila wakati kuleta prediction zako humu.
 
Hawezi vitu seriously kama hivyo,
Anachoweza ni propaganda na unafiki tu
 
Wooote wanaopiga jalamba na kujiset sasa hivi, hakuna hata mmoja atakayekuwa Rais wa nchi hii.

Ndio, nimesema hivyo. Na nitasimama hapo.

Wale wanaotumia pesa, wanaotumia nguvu, wanaotumia vyombo vya habari kujijenga kuwa ni wao ndio wajao, wote wanajidanganya. 2030 si 2025. 2030 si mwaka wa kawaida wa uchaguzi. 2030 ni mwaka wa kupasuka na kujengwa upya kwa Taifa.

Uchambuzi wangu uta-base sehemu 3: 1. Mwelekeo wa Siasa, 2. Madokezo Kadhaa Ndani ya Nchi, 3. Mkwamo Kisiasa.

Tuanze.

1. MWELEKEO WA KISIASA

Tukubaliane kwanza jambo moja la msingi: Rais ajae wala hajatajwa na yeyote.

Ila yupo tayari, maana kuna mtu atajiuzulu

Yule atakayekuwa Rais wa 2030, leo hii jina lake halipo midomoni mwa watu. Halipo kwenye magazeti. Halipo kwenye mitandao. Kama lipo, basi lipo kimya kimya, kwenye vikao vya ndani kabisa.
Lipo wazi
Wote wanaofanya maigizo sasa watapata shida. Shida kubwa. Hasa ajali kisiasa ndani ya Chama na ndani ya Serikali.
Wanaosikika hivi sasa kuna walio serious na wanautaka kweli, pia wapo wale wanaofanya “covering fire” ili kutoa protection kwa mlengwa afike salama
Kwanini? Kwa sababu siasa za kutafuta kwa nguvu, siasa za kujipendekeza, siasa za kutoa rushwa ili upendwe, siasa za kutumia vyombo vya dola kuwamaliza wenzako — zimechoka. Zimefika mwisho.

Naona kabisa, siasa za namna hiyo zikikoma mwaka 2028.
Ndiyo kwanza kumekucha, hazikomei hapo
2028 utakuwa mwaka wenye mwanga kwenye Taifa la Tanzania. Mwaka ambao historia itaandikwa upya. Kwa sababu reforms nyingi zitafanyika. Reforms za kweli, sio za kwenye karatasi. Reforms zitakazosukuma CCM kuwa makini mara 100 zaidi na Mgombea watakayemteua.
Hii ni wishful thinking mkuu
CCM itajua: Kama tukikosea mgombea 2030, tumekwisha. Kama tukileta mtu wa jalamba, mtu wa kujiset, mtu asiyekubalika, tutapoteza nchi asubuhi na mapema.
Mh!! CCM na kujubalika? Kwani tangu JPM alipochukua nchi hadi huyu wa sasa kuna kuangalia habari za kujubalika? Au yupi ni wetu na yupi atatufaa kwa kazi zetu?
Na hapa ndipo Turufu ilipo:

Kama reforms zikifanyika vema, na Upinzani wakajipanga vema, wanashinda asubuhi na mapema!
Wapinzani gani? CHAUMA? Watashinda nini?
Sio usiku. Sio jioni. Asubuhi na mapema. Kwa sababu wananchi wamechoka. Wananchi wanataka mabadiliko ya kweli. Hawataki tena maneno matamu. Wanataka mtu wa vitendo.
Uchovu wa Watanzania ni lini uliwahi kuzungatiwa? Kwani wana maamuzi gani kwanza?
Kwa hiyo 2028 ndio mwaka wa kuamua. 2028 ndio mwaka wa kuweka msingi. Yeyote atakayecheza vibaya 2028, 2030 hatakuwepo hata kwenye karatasi ya kupigia kura.
Hata Majariwa alifanya yote lakini matokeo yake hakuwemo kwenye karatasi ya kura
2. MADOKEZO KADHAA YA NDANI

Hapa ndipo penye siri kubwa.

Rais wa 2030 nishaambiwa ni nani.
Hata mwenzangu we Pascal Mayalla unamjua
Majina yapo mawili
Ndio, nimeshaambiwa. Na watu wa ndani kabisa. Lakini kutomuharibia, ngoja nisimtaje jina lake hapa. Kwa sababu kwa sifa alizo nazo, anamzidi tuliyenaye sasa mara 100.

Mara 100 kwa utulivu. Mara 100 kwa akili. Mara 100 kwa kukubalika. Mara 100 kwa kutokuwa na doa la rushwa.
Kwani huyo pekee ndiye anamzidi huyo kwa asilimia hizo?
Ni mtu ambaye hata adui zake wanamuheshimu. Ni mtu ambaye hahitaji kupiga kelele ili aonekane. Kazi yake inamzungumzia.
Kwani issue ni heshima au maslahi?
Lakini, asipokuwa yeye, basi huyu wa kizuizini ananyanyua ndoo mapema.

Ninazungumzia MKIZUIZI

MKIZUIZI ni jina ambalo haliwezi kufutika kwenye siasa za Tanzania. Unaweza kumfunga. Unaweza kumzuia. Unaweza kumweka kizuizini. Lakini huwezi kumfuta mioyoni mwa Watanzania.

MKIZUIZI akinyanyua ndoo mapema, mambo yatabadilika ghafla. Kwa sababu MKIZUIZI ana kitu ambacho wengine hawana: Sympathy ya Taifa.

Baada ya yote aliyopitia, baada ya kufukuzwa, baada ya kuwekwa kizuizini — Watanzania wanamwona kama shujaa. Wanamuona kama mtu aliyejitoa kwa ajili yao.

Na kama LISSU atagombea, basi Serikali ya Muungano wa Kitaifa haiwezi kuepukika.

Kifupi: Upinzani na CCM wanaweza kuungana kutengeneza serikali, hata kama KATIBA haisemi hivyo. Hata kama sheria haisemi hivyo.

Kwanini? Kwa sababu kutakuwa na Tragedy itakayotokea. Tragedy ambayo itawalazimu watu waketi mezani, na bandeji kichwani, kuandika makubaliano mapya ya Taifa. Sio kwa kupenda, bali kwa kulazimishwa na hali.

Watu wataulizana: Tunataka nchi iungue au tunataka tuketi tujadiliane?

Na hapo ndipo MKIZUIZI atakuwa muhimu. Kwa sababu ndani ya CCM wenyewe, yeye ni miongoni mwa Top 5 wanaokubalika bila rushwa wala sarakasi. Na anamkubali Lissu mbaya sanaaa

Ndiyo, umesikia vizuri. Hata ndani ya CCM, wapo wanaomkubali LISSU. Wapo wanaosema: Huyu mtu ni msafi. Huyu mtu ni mkweli. Huyu mtu hana unafiki.

Mbaya zaidi kwa wapinzani wake, sasa kaongezewa ka-sympathy ka kufukuzwa na kuwekwa kizuizini. Kila siku anapokuwa ndani, umaarufu wake unaongezeka nje. Kila siku anaponyamazishwa, sauti yake inasikika zaidi.

Kwanini MKIZUIZI atalazimika kugombea? Kwa sababu Taifa litamhitaji. Kwa sababu hakuna mwingine atakayeweza kuunganisha pande mbili zilizogawanyika. CCM itamhitaji ili iponyoke.
XXXXXXX😎☝️☝️
Na hapa ndipo jina la EMMANUEL NCHIMBI linaingia.

NCHIMBI ni mtu wa kimya kimya lakini ni mchezaji mkubwa sana ndani ya CCM. NCHIMBI anajua Chama ndani nje. NCHIMBI anajua Serikali ndani nje. NCHIMBI si mtu wa jalamba. NCHIMBI si mtu wa kujiset. NCHIMBI ni mtu wa mfumo.

Kama CCM itataka ku-survive 2030, itamlazimu imsikilize NCHIMBI. Kwa sababu NCHIMBI ndiye anayeweza kusema ukweli mchungu ndani ya Chama: Tukileta mtu mbovu, tumepoteza nchi.

NCHIMBI na LISSU, kwa namna moja au nyingine, ni majina mawili ambayo yatakuwa katikati ya meza ya 2030. Mmoja ndani ya mfumo, mwingine nje ya mfumo. Lakini wote wawili wanakubalika.

Kama NCHIMBI ataamua kusimama na ukweli, na LISSU ataamua kunyanyua ndoo basi mchezo unabadilika kabisa.
😎😎😎😎😎😎😎
3. MKWAMO KISIASA

Sasa tuje kwenye sehemu ambayo watu wengi hawataki kuiongelea, lakini harufu yake inasikika.

Kuna harufu ya Jeshi kuja kushika nchi kutokana na mkwamo kisiasa.

Sio uvumi wa mtaani. Ni harufu ya kweli. Ndani si kuzuri. Hali ndani ni tete. Watu wamegawanyika. Viongozi wamegawanyika. Chama kimegawanyika. Nchi imegawanyika.

Kama mkwamo huu utaendelea, kama reforms zikicheleweshwa, kama 2028 ukipita bila suluhisho, basi mkwamo utafika kileleni baada ya 2030.

Na hapo ndipo Jeshi linaweza kujaribu kuingia.

Lakini nikuambie ukweli mchungu:

Wakijichanganya Jeshi si zuri kushika nchi.

Kwanini? Kwa sababu wao uwa wakishashika hawatoki. Wanakuwa na kamchezo ka kupinduana!

Leo huyu anampindua huyu, kesho huyu anampindua huyu. Nchi inakuwa uwanja wa kupinduana. Maendeleo yanasimama. Demokrasia inakufa. Na mwisho, wananchi ndio wanaumia.

Jeshi lina kazi yake: Kulinda mipaka, kulinda Taifa dhidi ya adui wa nje. Sio kushika madaraka. Kama Jeshi likishika madaraka, halitoki kirahisi. Na historia ya Afrika inatuambia hivyo wazi wazi.

Kwa hiyo, suluhisho sio Jeshi. Suluhisho ni MEZANI.Suluhisho ni mazungumzo. Suluhisho ni Serikali ya Muungano wa Kitaifa ambayo itazaliwa baada ya tragedy, kabla Jeshi halijajaribu kuingia.

Tunapaswa kuzuia Jeshi kuingia kwa kufanya reforms mapema. Kwa kuleta mgombea sahihi. Kwa kumruhusu LISSU na wengine kushiriki kwa haki. Kwa kumsikiliza NCHIMBI na wengine wanaosema ukweli ndani ya CCM.

Kama tukifanya hivyo, Jeshi litabaki barracks. Kama tukikataa, Jeshi litatoka barracks.
Kiongozi, Tanzania haina Jeshi la namba hii. Mchakato wa kuli neutralise Jeshi ulianza mapema, wakawa hawana uhakika, ila majaribia yalifanyika ile wiki Oktoba 29, hapo ndipo yote yalikamilija juu ya yake
NA NDEJA?

Hapa lazima niongee na moyo mzito.

NDEJA anaweza kama Mungu atafanya jambo kabla ya 2030.

Jambo ambalo hatutaki. Jambo ambalo ninaliona, lakini ninaomba lisitokee.

Kama jambo hilo likitokea, basi hesabu zote za 2030 zitabadilika ghafla. Mchezo wote utabadilika. Majina yote ya sasa yatapotea. Na Taifa litaingia kwenye kipindi kigumu sana cha maombolezo na sintofahamu.

Sitamani. Siombe. Lakini naliona. Na ndio maana ninasema: Tusifanye mzaha na 2030. Tujipange mapema. Tumwombe Mungu atulinde.

HITIMISHO

Kwa hiyo, nirudie tena:

Wote wanaopiga jalamba na kujiset sasa, hakuna atakayekuwa Rais.

Rais wa 2030 ni mtu mwingine kabisa. Mtu ambaye hajatajwa. Au kama sio yeye, ni LISSU.

Na kama ni LISSU, basi Serikali ya Muungano wa Kitaifa haiwezi kuepukika.

Na kama tukikataa kuungana, basi mkwamo utaleta harufu ya Jeshi.

Chaguo ni letu. 2028 ndio mwaka wa kuamua. 2030 ndio mwaka wa kulipa.

Watu wanauchukulia 2030 powa powa. Lakini 2030 ndio mwaka utakaoamua kama Tanzania inabaki kuwa Tanzania, au inakuwa kitu kingine kabisa.

Mwisho: KATIBA MPYA NA REFORMS NI MUHIMU
Britanicca
Huu msimu ndiyo umeshaanza. KUNAWATU MUHIMUSANA kwenye circles zao watafuliliza kwenda SAYUNI
 
Upupu🚮
Anza kuvujisha siri za kambi zenye faida kwa upande wa upinzani pamoja na nchi kwa ujumla.
Twambie akina polepole , mdude ,Ben sanane ,soka na wengine wapo wapi mpaka sasa .

kama kweli wewe ni mtu wa system na unapata taarifa za ndani sio kila wakati kuleta prediction zako humu.
Upupu, at work ...🤣🤣
 
Haha hapana tumekuwa wote kwenye Jukwaa hili sema alinipa Kazi ya kumchunga shemeji yangu alipokuwa anasoma udaktari hapa urusi

Pia kuna jambo tulitaka kuchunguza juu ya Uraia wa katto bahati mbaya akatangulia mbele ya haki
Nimevutiwa sana na hii hadithi namna umejibu kwa utulivu ukianza na haha

Basi kwa ukaribu wenu huo mwambie Pascal Mayalla kua naomba kazi ya kumsaidia kuandika mawazo yake na mijadala na maoni kwenye magazeti maana sasa hivi yeye ni kama age go

Anapaswa arelax kazi tufanye vijana
 
2. MADOKEZO KADHAA YA NDANI

Hapa ndipo penye siri kubwa.

Rais wa 2030 nishaambiwa ni nani.
Hata mwenzangu we Pascal Mayalla unamjua

Ndio, nimeshaambiwa. Na watu wa ndani kabisa. Lakini kutomuharibia, ngoja nisimtaje jina lake hapa. Kwa sababu kwa sifa alizo nazo, anamzidi tuliyenaye sasa mara 100.
Rais wa 2030 mshaambiwa ni nani?

Kwa hiyo 2030 hakuna haja ya uchaguzi ulio wa huru na wa haki?

Kwamba hiyo 2030 ni mwendo wa coronation tu?

Huo upumbavu ndio hatuutaki sasa.

Wananchi wenye akili tunataka kuchagua viongozi tunaowataka wenyewe. Na si kupachikiwa mtu na muuaji Samia.
 
Lipo wazi

Wanaosikika hivi sasa kuna walio serious na wanautaka kweli, pia wapo wale wanaofanya “covering fire” ili kutoa protection kwa mlengwa afike salama

Ndiyo kwanza kumekucha, hazikomei hapo

Hii ni wishful thinking mkuu

Mh!! CCM na kujubalika? Kwani tangu JPM alipochukua nchi hadi huyu wa sasa kuna kuangalia habari za kujubalika? Au yupi ni wetu na yupi atatufaa kwa kazi zetu?

Wapinzani gani? CHAUMA? Watashinda nini?

Uchovu wa Watanzania ni lini uliwahi kuzungatiwa? Kwani wana maamuzi gani kwanza?

Hata Majariwa alifanya yote lakini matokeo yake hakuwemo kwenye karatasi ya kura

Majina yapo mawili

Kwani huyo pekee ndiye anamzidi huyo kwa asilimia hizo?

Kwani issue ni heshima au maslahi?

XXXXXXX😎☝️☝️

😎😎😎😎😎😎😎

Kiongozi, Tanzania haina Jeshi la namba hii. Mchakato wa kuli neutralise Jeshi ulianza mapema, wakawa hawana uhakika, ila majaribia yalifanyika ile wiki Oktoba 29, hapo ndipo yote yalikamilija juu ya yake

Huu msimu ndiyo umeshaanza. KUNAWATU MUHIMUSANA kwenye circles zao watafuliliza kwenda SAYUNI
Umepotea jukwaani
 
Yaani Jamaa wamemuweka pembeni kidogo Nchimbi ili kuwapoteza maboya wale jamaa kisha hiyo 2028 ikifika ndio wamtoe mbele ya kadamnasi waseme mnakiona hichi chuma ??!
🤣🤣
Au nimepiga hesabu tofauti ??!
Kumbe hata ile kumvua uanachama ni Danganya toto tu ??!
Na kama Nimeelewa ndivyo sivyo je mwenyewe akiachiwa au sijui niseme akiruhusiwa aingie ulingoni atakuwa nao bega kwa bega Wenzie bila kinyongo chochote kama vile hakuna baya lolote lililotokea ???! 😳
Watagongeana glass za champagne 🍾 na kusema ile ilikuwa ni ajali tu ya kisiasa,
Tugange yajayo ??!
Kweli wahenga walisemaga Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba !
Ngoja Tusubiri tuone 😳😎🤓 !
 
Back
Top Bottom