Bila reforms, 2030 hakutakua na uchaguzi.

Bila reforms, 2030 hakutakua na uchaguzi.

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,534
Reaction score
6,861
Msimamo ni ule ule . Tunataka tukipiga kura ihesabiwe kwa aliyepigiwa. Tume huru ya uchaguzi, kukomesha uwizi wa kura.

Hivyo basi, labda kama ccm imeamua kuik colonize inchi kama makaburu.
Bila reforms kufanyika 2030 hakutokua na uchaguzi
 
2030 sio tu hakutakuwa na uchaguzi tutakuwa na operation no ccm.

Kila kinachojiusisha na CCM kinatakiwa kisiwepo kabisa kwenye uso wa hii dunia
 
Sioni hata maana ya uchaguzi,mteule wa mkutano mkuu wa CCM ndiye awe rais wetu,AAPISHWE TU,SIMPLE AND CLEAR ALSO TO SERVE UNNESESARY COST.
 
Back
Top Bottom