Guinea: Mwandishi wa Ufaransa akamatwa kwa kuchunguza Ufisadi wa Maafisa wa Serikali

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Maafisa wa Jeshi wamemkamata Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Thomas Dietrich Mjini Conakry, alipokuwa akichunguza madai ya ufisadi katika Kampuni ya Serikali ya Mafuta (SONAP) huku kukiwa na ripoti za kuzorota kwa hali ya Uhuru wa vyombo vya habari nchini humo

Vyanzo vya Habari vinasema mwandishi huyo alikuwa nchini humo kwa siku kadhaa akichunguza namna baadhi ya maafisa wa Serikali ya mpito ya #Guinea walivyopata utajiri wao wakihusishwa na Kampuni ya SONAP

Si mara ya kwanza kwa Dietrich kukamatwa nchini humo. Mnamo Machi 2020, alikamatwa na kufukuzwa nchini baada ya kupiga picha za uchunguzi wa Polisi dhidi ya Maandamano ya upinzani katika mji mkuu wa Conakry

.............

Guinea arrests French journalist Thomas Dietrich

Guinean military authorities have arrested French journalist Thomas Dietrich amid reports of a deteriorating press freedom situation in the West African country.

The journalist was arrested on Sunday in the capital, Conakry, while investigating alleged corruption in the country's National Oil Company (Sonap).

Sources say the journalist was interested in how certain officials of Guinea's transitional government had acquired their wealth and had been in the country for several days to investigate Sonap.

It is not the first time Mr Dietrich is arrested in Guinea.

In March 2020, he was arrested and deported after he filmed a police crackdown on an opposition demonstration in the capital Conakry.

It is not clear if Mr Dietrich has been deported following his latest arrest

Source: BBC
 
Afinywe huyo kibaraka
 
Back
Top Bottom