Eeeeeh ......🙌
Lihelikopta libovu lina miaka 30 na sehemu zake kadhaa zinahitaji Matengenezo ila hatuhangaiki nayo lakini Kutwa tuko kuwakalia Vikao Israel ( Taifa la Mungu na la GENTAMYCINE ) kwanini Mwenyezi Mungu asikilaani kisha Waisraeli wapenyezewe hiyo Taarifa na Wao waipangie Miundombinu ya KIMAFIA na KIJASUSI ili Kuiangusha hasa Wakivizia ikiwa na ADUI muhimu ndani ili iwe sehemu yao ya awali ya Kulipiza kisasi kwa Kushambuliwa mwaka huu huu? Kudadadeki Shikamoo Israel.
 
Sana mkuu hakuna mwenye akili kubwa hapa jf kama ww mkuu popoma afu nilisahau wenye akili mpo wawili tu wewe popoma na melo mwenye jf yake basi
Yaani nimecheka hadi basi Mkuu. Nimeandika hivyo Makusudi ili Kuwakera tu HATERS wangu na najua wanaumia Kinoma.
 
Finally MOSAD did it again
what amazes me ni kwamba, walijua hadi kati ya zile tatu, ipi yeye kapanda na yule waziri wa foreign mwenye mdomo mchafu. au kwasababu inajulikana, zikiwa tatu zimeongozana utaijua tu ipi ya ulinzi na ipi inalindwa. manake imedondoka ya kwake tu, zile zingine zimerudi home safely. na wanaogopa wakikubali kwamba kadunguliwa, wataonekana wao technolojia waliyokuwa wanatamba wanayo imefeli. wanaishia kusema, ni ajali ya kawaida. kawaida kivipi katika mazingira kama ayo?

chopa tatu zimeongozana, moja ya Rais, mbili za ulinzi kumzunguka, alafu inapigwa hadi inapotea, zile za ulinzi ziliuwa wapo hadi ipotee bila wao kujua waanze kuitafuta maporini vile? afu kule maporini nasikia kuna maumbwa mwitu kibao, si ukuta yemewatafuta zile pua. kwenye mtandao watu wanasema hadi waone sure ndio wajue umbwamwitu hawajawawekea chumvi na pilipili na kachumbari.
 
Tuachane na Mambo ya Imani.
Mwili umeshapatikana ama ameungua hatambuliki kabisa.
Mkuu. Kule hakuna ubwabwa Kama misiba ya huko kwenu Mwananyamala.

Mkuu tuko msibani, Mwananyamala kisiwani......

1716229152991.png
 
Back
Top Bottom