Mkuu
Mungi angalia sana lile jukwaa aise unaweza kujikuta unalipuliwa na kitu cha moto kilichorushwa na wafuasi wa chama chako mwenyewe
Au wakakumabwepande bila kujua ukajikuta meno na kucha zinaondolewa bila ganzi na sura yako ikaharibiwa na tindikali
mkuu
Mungi hiyo mbaya sana aise unakaa karibu na kijiji changu hata salam aise
Kuna vicastle lite vimekosa wanywaji aise karibu sana
hebu tembelea Pale Mtandaoni uniambie deal aise
Ciello andaa safari na nitakyuwa nahakikisha kila bunge klikianza nakutafutia trip ya kukaa huko miezi mitatu tena for medical check up kumbe wala raha mara nyuyok mara washington mara wapi sijui kwingine
kalukamise hapo usiwe na wasi wasi aise
Ila toa rushwa sasa takukuru wamelala hawaamki muda huu
Sema mambo yako