Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Kinga ndio nini?
Bi Elizabeth Dominic popote pale ulipo, hebu ukuje pande hii unisaidie. Kuna watu wananisema vibaya.
Eti waweza enda vitani bila kujikinga? Si ni sawa na timu ya mpira bila golikipa?
Mkuu ni sweetlady ndo anajua hutumii kinga.............sasa unamwita tena Elizabeth Dominic hujui wataanza kurushiana vitu vizito kichwani?
Last edited by a moderator: