Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Last edited by a moderator:
Afu mbona unanitafuta ugomvi wa bure???
Hivi unayo hata skin tait ya kuvaa siku ya ndondi ikifika??
Na kura zako atakuhesabia bishanga....ole wake mtu aseme fyoko tutamtoa mahita kwenye ustaafu ili huyo mtu ajue nini maana ya 'ngunguri!Mie ni mgombea, na ninataka nipite bila kupigwa.
Nitawaroga hao wengine hadi waote miti kwenye makoromeo
Na nina hela ya kutoa rushwa, nitanunua wasimamizi, wapiga kura, wahesabuji, waangalizi wa kimataifa na waangalizi wa ndani, wapinzani, akchwali nitanunua kila mmoja hadi mie mwenyewe nitajinunua
hahahahaha kwa mtindo huo urahisi utausikia wagombea wameshaanza kutoa takrima magari, nyumba, na maakaunit zimewekwamo lol
Kugombea Urais.