Rais wa chit-chat

Rais wa chit-chat

Hahahahaha Mr Rocky nimekugongea like kimoyomoyo(niko via mchina hapa lol) ..,..


Mwaaaaaaaa! Mwaaaaaaa! Mwaaaaaaaa! (hapa lazima kuna mtu atajinywesha sumu kwa wivu anajijua)


Nimekupendekeza laazizi usijali na nna hakika utashinda kwa kishindo!

yaani sweetlady utawafanya watu wajinyonge hapa kwa mawivu
Mwaahha mwahhaaa Mwanyasi mimi nagombea wapi aise nianze kujipigia kampeni
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mimi sijapendekezwa, ila aliyependekezwa ni Arusha one na siyo mimi. My ID is Arushaone. Mind space between our names! Nimemaliza, ahsanteni.
Arushaone, samahani sana, nadhani wachapaji walikosea.
Lakini tayari mabadiriko yamefanywa kule Afrika Kusini na wewe haswa ndie uliyependekezwa.
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaaaah pia!

Nimecheka sana hiyo ya Arushaone kurudishwa home kwa toroli lol, yan kama namuona vile. Mungi kaachika kwa mkewe na kwenye siasa napo hatakiwi ndio mana anagombea urais chit chat! Erickb52 tushamzoea kwa majungu wala asikupe tabu kabisa!
sweetlady mi sitaki urais, nagombania ubodigadi wa wake/mahawara wa rais wa atakayeshinda urais. I wish ungekuwa mke/hawara wa rais ili niwe bodigadi wako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tunaelewa hilo, ila manyasi alikumaanisha wewe, we sema tu alioverlook wakati ana mention.
Au tuambie........kati ya Arushaone na Arusha one nani alifumaniwa na mke wa Boflo? jibu ni wewe so aliyemaanishwa ni wewe hahaaaaaa!!!!!!!

Mkuu Mungi ndio maana nasema wewe unafaa kuwa bodyguard unafahamu mambo kama ulikuwepo!
Bahati mbaya na wewe umekosea jina langu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi kinga ya nini bana wakati kitu kinaita aise
hapo kinga inakuwa ni kama kula pipi kwenye ganda mkuu hainogi bana Mungi huyo Arushaone kashaaachwa na mkewe sasa hivi anakumbatia mto tuu



Mungi wewe ni mtabiri nini aise
hiyo kitu mi naona kama sumu bana na nikitumia napata alergy kabisa sweetlady anajua yote hayo

Nilichotaka kujua ni kama sweetlady anajua kuwa hutumii DUME................Thanks Mr Rocky hahaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nilichotaka kujua ni kama sweetlady anajua kuwa hutumii DUME................Thanks Mr Rocky hahaaaaaaa
Mungi wakati nikiwa nae namuangalia machoni huwa naishika tuu mkononi ila kwenye matumizi ni hola na yeye anajua kuwa DUME ni alergy

Kwa muujibu wa Katiba yetu, Rushwa haijatajwa popote, nadhani mara ukiwa spika hii hoja iwe ya kwanza lakini kwa sasa katiba ipo kimya.

Mimi nikiwa spika nitapendekeza rushwa iwe inatolewa kubwa kubwa
Mtu atakayekamatwa anatoa tulimilioni tuchache huyo ataenda jela maisha ila atakayehonga bilioni kadhaa au mjengo wa maana au gari ya maana huyo anapewa nafasi ya kuwa kiongozi maana anajua ni nini wakubwa wanataka
Umenipata Mwanyasi

Mkuu wewe usubiri nafasi ya spika mjengoni. Kule hauna mpinzani kabisa.


Hapo umenipata sana aise
Mheshimiwa supika na mwongozo utawahusu sana akina Mungi na Arushaone na Erickb52 #justsaying
 
Last edited by a moderator:
Mungi ana yake na ndo maana siasa kule kafukuzwa anakimbilia chit chat
laaziz mbona hujanipendekeza aise nigombee cheo cha waziri wa mambo ya ndani wa sweetlady


laaziz mwaaahhaaa tena na tena na tena na tena Arushaone kajifanya mjanja kabugia gordons utafikiri ndio mara ya kwanza kuiona kutoka hapo hajiwezi Erickb52 ni balaa yule na ana wanted ya kutokanyaga mwanza kabisa

Sasa we Mr Rocky inakuwaje bana? sweetlady anajua wewe, Arushaone, Filipo, Boflo, Erickb52, Mzee wa Rula, Mwanyasi, PakaJimmy na Asprin hamtumii kinga.
ila hajui kama mimi na LiverpoolFC tunatumia ama laa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mungi wakati nikiwa nae namuangalia machoni huwa naishika tuu mkononi ila kwenye matumizi ni hola na yeye anajua kuwa DUME ni alergy



Mimi nikiwa spika nitapendekeza rushwa iwe inatolewa kubwa kubwa
Mtu atakayekamatwa anatoa tulimilioni tuchache huyo ataenda jela maisha ila atakayehonga bilioni kadhaa au mjengo wa maana au gari ya maana huyo anapewa nafasi ya kuwa kiongozi maana anajua ni nini wakubwa wanataka
Umenipata Mwanyasi




Hapo umenipata sana aise
Mheshimiwa supika na mwongozo utawahusu sana akina Mungi na Arushaone na Erickb52 #justsaying

Napendekeza spika awe Ciello, manake akiwa Mwanyasi nitakuwa na pigwa ban kuingia mjengoni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom