Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,140
- 4,237
Sio mambo ya kawaida ni mambo ya kiusalamaNimekumwambia hata Uganda M7 alimtumia ndege kumfuata Burundi. Kwa hio Ni mambo ya kawaida kabisa hayo.
Sio mambo ya kawaida ni mambo ya kiusalamaNimekumwambia hata Uganda M7 alimtumia ndege kumfuata Burundi. Kwa hio Ni mambo ya kawaida kabisa hayo.
Hapo sawa mkuu,it makes sense.sio mambo ya kawaida ni mambo ya kiusalama
Itracom is a subsidiary of the Burundi based FOMI.
It is anticipated that the Dodoma factory will be a saviour to Tanzanian farmers, considering the fact that the $180 million investment will not only employ 3,000 people but upon completion of the ongoing construction, it will have the capacity of producing 600,000 tonnes of natural fertiliser per year. Construction will be completed in August 2022.
Mwekezaji ni yeye kutoka Urundi EmpireKwaio anakuja kukagua na kuzindua miradi ya TZ?
Nlijua wangezindua joint projects za nchi mbili, sa kiwanda cha mbolea kinamuhusu nini? au ndio kuextend ziara. Kwa wenzetu haya mambo huyaoni
aliletwa na jiwe auMwekezaji ni yeye....kutoka Urundi
Mwekezaji ni yeye kutoka Urundi Empire
Alijileta mwenyewe ni mwekezajialiletwa na jiwe au
Air Uganda iliyombeba to Uganda ni commercial flight kama ATC/KQ hii iliyombeba ni special aircraft ya Rais wa TZ, ambayoNimekumwambia hata Uganda M7 alimtumia ndege kumfuata Burundi. Kwa hio Ni mambo ya kawaida kabisa hayo.
😂😂😂Masikini wenzetu wamekuja kutusamilia siyo, bac sawa!! Karibu sana.
Ujirani mwemaRais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku (3) kuanzia leo tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021.
Mhe. Ndayishimiyeamepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jijini Dodoma.
Atatembelea na kuweka Jiwe la Msingi katika Kiwanda cha kuzalisha Mbolea ya Asili kinachojengwa Nala, Dodoma.