Wild man from the Hills
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,002
- 5,824
Yale yale ya jiwe alikuwa anafanya safari mikoani anazindua mitaro ya maji
Kwa Jiwe CCM Walitupiga
Yale yale ya jiwe alikuwa anafanya safari mikoani anazindua mitaro ya maji
Hiyo si Air Tanzania, ni ndege ya serikali, presumably gulf stream!!Rais wa Burundi alipoenda kwny kuapishwa kwa M7 alishuka kwny Air Uganda,Leo naona ameshuka kwny Air Tz Sasa sijui hua anaikodisha au hua Ni masharti yake kwa wenyeji wake 😄😄😄
Huenda huelewi. Si vibaya. Zanzibar moja ya nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Soma Katiba ya Zanzibar. Watoto muliozaliwa miaka ya 1980 hili hamulijui.Tanzania maana yake ni Tanganyika, akienda Zanzibar tunasema kaenda Zanzibar... yakhee we hujui kuwa Zanzibar sasa ni nchi kamili yakhee..
Hohehahe ni tusi?Respect Kwa mamlaka aisee
So long inamilikiwa Tz.Hiyo si Air Tanzania, ni ndege ya serikali, presumably gulf stream!!
Sasa hii ni ndege ya Rais, siyo ATCL, ndio maana nikasema tunaukarimu wa hali ya juu na heshimaKote huyu akienda hutumia ndege za wenyeji, Uganda alipoenda alitumia Air Uganda.
Nimekumwambia hata Uganda M7 alimtumia ndege kumfuata Burundi. Kwa hio Ni mambo ya kawaida kabisa hayo.sasa hii ni ndege ya Rais, siyo ATCL, ndio maana nikasema tunaukarimu wa hali ya juu na heshima
Nimekumwambia hata Uganda M7 alimtumia ndege kumfuata Burundi.kwa hio Ni mambo ya kawaida kabisa hayo.
www.france24.com
Burundi's Nkurunziza returns home after coup attempt
14 May 2015 — Nkurunziza was in Tanzania when a former military chief announc… ... Pierre Nkurunziza has returned home a day after an attempted coup, ...
Nazani hata Mwanza inaizidi mbali sana Burundi MapayoIle nchi sifikirii kama hata ndege moja wanayo.
Pesa zote wananunua siraha na kulipa wasiojulikna wa Burundi.
Sounds reasonable.Siyo jambo la kawaida, ni suala la usalama ukizingatia historia ya Burundi. Mifano ni mingi ikiwemo huu Le Président Ndayishimiye a rendu hommage au Martyr de la Démocratie
Yeyote ndani ya Burundi mwenye uchu wa madaraka atakayetaka kuchukua nchi ya Burundi kwa kuifanyia chochote ndege ya Uganda au hii ya Tanzania iliyomveba rais aliye madarakani hatabaki salama kuitawala Burundi.
Akheri ungesema a-'respect' nchi/mataifa haya mawili!Respect Kwa mamlaka aisee
Lakini si huyu kachaguliwa hivi karibuni,..., kafanya u-'dikteta' tayari?Dikiteita linakuja kwa dikiteita mwenzake
Ni sawaAkheri ungesema a-'respect' nchi/mataifa haya mawili!
Hizo mamlaka zinaposhindwa k'respect' utategemea vipi zenyewe zi'respect'iwe!
Respect inakuwepo wakati kuna 'respect' pande zote, na wala haihimizwi au kulazimishwa.
Mko na ujinga umewajaa, to de extent mnamsingizia marehemu. Mtaro wa maji upi ashauzindua magufuliYale yale ya jiwe alikuwa anafanya safari mikoani anazindua mitaro ya maji
Hamna kitu hapoNimesikiliza alichokiongea kwenye dhifa ya KITAIFA huyo bwana Ndamashiye. Aisee the guy is pointless. Kumbe ndio maana alimteua akijua jamaa ñi boya.