Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 8,838
- 27,958
Acha kiherehereJamani Rais ni mali ya wananchi, sasa faragha inatoka wapiii? Km kuna lolote tuambiwe ukweli mapemaa.
Acha kiherehereJamani Rais ni mali ya wananchi, sasa faragha inatoka wapiii? Km kuna lolote tuambiwe ukweli mapemaa.
Shetani mkubwa wewe mwenye moyo wa kishetani.Safari imewadia, kodi zetu tangu 1995 zitapumua
Uangalizi huu ni ule wa "Intensive Care Unit, ICU" ama wa ni wa "High Dependency Unit, HDU"?Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari.
Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu. Hivyo Familia inaiomba jamii kumkumbuka kwenye Dua, Sala, na Maombi.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu amjaalie shifaa ya haraka Mzee wetu pamoja na wagonjwa wengine wote wanaokabiliwa na maradhi mbali mbali.
Abdullah Ali Mwinyi
Msemaji wa Familia
Pamoja na mapungufu yao. Lakini ubinadamu wao unapaswa kutunzwa kama namna ambavyo sisi tunavyotaka kuheshimiwa kama watu.Safari imewadia, kodi zetu tangu 1995 zitapumua
Lucas acha matusi kwani huo si ndio ukweliShetani mkubwa wewe mwenye moyo wa kishetani.
Kuwa ANATUBANA?Dah kuna kitu nataka kukoment hapa ila acha nifunge vidole
Wewe utakua ni mtu ambae umepigika kinoma,ndio ukaamua hasira zako uzielekeze kwa wengine,Safari imewadia, kodi zetu tangu 1995 zitapumua
Matusi yapi niliyotukana hapo? Au na wewe unaunga mkono ushetani wa huyo shetaniLucas acha matusi kwani huo si ndio ukweli
Huyo naona ana matatizo ya akili yanayomsumbua ambayo yanahitaji matibabu ya haraka sana.maana mtu mwenye akili Timamu hawezi kuandika ujinga aliouandika.Wewe utakua ni mtu ambae umepigika kinoma,ndio ukaamua hasira zako uzielekeze kwa wengine,
Unaamini kua kushindwa kwako kumesababishwa na wengine,chuki haziwezi kukutoa kwenye umasikini,kulaumu wengine kwa kushindwa kwako hakuwezi kubadili kitu,pambana ufanikiwe ili usiwe na chuki za kijinga.
Akufe tu zee gani limedinya hadi mama mzaziNdugu zangu Watanzania,
Ndugu Abdullal Alli Mwinyi Msemaji wa familia ya Rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Mwinyi ameiomba jamii kumkumbuka mzee wetu na Rais wetu mstaafu kwa sara,dua na maombi.
Ambapo amepelekwa hospitalini kutokana na maradhi ya kifua na kuendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari wake.
Kwa hiyo watanzania wenzangu tumuombee mzee wetu na Rais wetu mstaafu ambaye ndiye muasisi wa mageuzi ya kisiasa hapa nchini.
Ni wakati wake ndio mfumo wa vyama vingi uliingia nchini na demokrasia kuanza kuchukua nafasi yake na kutoa nafasi ya watu kuzungumza kwa uhuru bila shida. Ni wakati wake ambapo mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yalifanyika katika kuwaondoa watanzania katika dimbwi la umaskini uliotopea.
Kwa waliosahau au kutoelewa ni kuwa mzee wetu huyu hapo mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu atatimiza miaka mia moja yaani karne moja.jambo ambalo kiukweli kufikisha umri huo hapa Duniani ni lazima umshukuru Mungu na kusema imekuwa hivyo kwa neema tu ya Mungu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Mungu ampe wepesi mzee wetu.Ndugu zangu Watanzania,

Watoto wa Mwinyi wengine tumewakaribisha kutoka Zanzibar, tumesoma nao vizuri, tumekuwa marafiki wakiwa watu wa kawaida sana mpaka tukawa tunatilia shaka kama hawa ni watoto wa rais kweli au tunadanganywa tu, kwa jinsi walivyoishi maisha ya kawaida.Pamoja na mapungufu yao. Lakini ubinadamu wao unapaswa kutunzwa kama namna ambavyo sisi tunavyotaka kuheshimiwa kama watu.
Tusivuke mipaka sana ya utu. Tukatae matendo yao lakini tuhwshimu na kuenzi utu
Wakutanikapo tai ndipo mzoga ungalipoRais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari.