The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.
Kwanini Mwanza tunamhitaji Makonda?
1. Uwepo wa migogoro mingi ya ardhi.
2. Halimashauri nyingi kutosimamia kwa kina pesa za miradi mbalimbali iliyochini yake mfano, ujenzi wa masoko, Barabara za mitaa pamoja na ujenzi wa stendi za magari ya abiria.
3. Ubadirifu mkubwa wa makusanyo ya halimashauri nyingi za mkoa wa Mwanza.
Kwanini Makonda na si mtu mwingine?
1. Mwamba ni jasiri na mbunifu.
2. Mwamba hamwonei MTU Haya wala aibu.
Kwa sifa hizi naamini kabisa mwamba atakuja kusimamia misingi ya sheria ilopindishwa na baadhi ya viongozi wa halimashauri za wilaya hapa mwanza.
NB. Jumamosi ijayo tufanye usafi kwa wingi kukumbuka jambo zuri la kufanya usafi aloliasisi Makonda.