Rais tuletee mwamba Paul Makonda awe mkuu wa mkoa, tunamhitaji kwa sana

Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Kwanini Mwanza tunamhitaji Makonda?

1. Uwepo wa migogoro mingi ya ardhi.
2. Halimashauri nyingi kutosimamia kwa kina pesa za miradi mbalimbali iliyochini yake mfano, ujenzi wa masoko, Barabara za mitaa pamoja na ujenzi wa stendi za magari ya abiria.
3. Ubadirifu mkubwa wa makusanyo ya halimashauri nyingi za mkoa wa Mwanza.

Kwanini Makonda na si mtu mwingine?

1. Mwamba ni jasiri na mbunifu.
2. Mwamba hamwonei MTU Haya wala aibu.
Kwa sifa hizi naamini kabisa mwamba atakuja kusimamia misingi ya sheria ilopindishwa na baadhi ya viongozi wa halimashauri za wilaya hapa mwanza.

NB. Jumamosi ijayo tufanye usafi kwa wingi kukumbuka jambo zuri la kufanya usafi aloliasisi Makonda.
Angekuwa kiongozi nzuri wajumbe wangempiga chini??
 
Timu Msambwanda kazini :D :D
🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️

Everyday is Saturday..........................:cool:
 
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Kwanini Mwanza tunamhitaji Makonda?

1. Uwepo wa migogoro mingi ya ardhi.
2. Halimashauri nyingi kutosimamia kwa kina pesa za miradi mbalimbali iliyochini yake mfano, ujenzi wa masoko, Barabara za mitaa pamoja na ujenzi wa stendi za magari ya abiria.
3. Ubadirifu mkubwa wa makusanyo ya halimashauri nyingi za mkoa wa Mwanza.

Kwanini Makonda na si mtu mwingine?

1. Mwamba ni jasiri na mbunifu.
2. Mwamba hamwonei MTU Haya wala aibu.
Kwa sifa hizi naamini kabisa mwamba atakuja kusimamia misingi ya sheria ilopindishwa na baadhi ya viongozi wa halimashauri za wilaya hapa mwanza.

NB. Jumamosi ijayo tufanye usafi kwa wingi kukumbuka jambo zuri la kufanya usafi aloliasisi Makonda.
Ni mjomba wako? Hafai kabisa.
 
Naona una hamu tu ya kupimwa tezi dume sema tu unazungukazunguka bashite akiwa RC wako wapimaji wakija kugonga mlango wako usiwe mkali
 
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Kwanini Mwanza tunamhitaji Makonda?

1. Uwepo wa migogoro mingi ya ardhi.
2. Halimashauri nyingi kutosimamia kwa kina pesa za miradi mbalimbali iliyochini yake mfano, ujenzi wa masoko, Barabara za mitaa pamoja na ujenzi wa stendi za magari ya abiria.
3. Ubadirifu mkubwa wa makusanyo ya halimashauri nyingi za mkoa wa Mwanza.

Kwanini Makonda na si mtu mwingine?

1. Mwamba ni jasiri na mbunifu.
2. Mwamba hamwonei MTU Haya wala aibu.
Kwa sifa hizi naamini kabisa mwamba atakuja kusimamia misingi ya sheria ilopindishwa na baadhi ya viongozi wa halimashauri za wilaya hapa mwanza.

NB. Jumamosi ijayo tufanye usafi kwa wingi kukumbuka jambo zuri la kufanya usafi aloliasisi Makonda.
Unamuombea wewe mke wake? Halafu wewe ni kama nani unaomba huyo bwege aletwe Mwanza? Msituletee mambo ya kipumbavu katika mkoa wetu, hatuna muda wa mpuuzi mwenzako.
 
Back
Top Bottom