Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya Mtakatifu Andrea Kagwa kanisa kuu jimbo katoliki Lindi.
 
Ni ibada ya kuomba haki itamalaki na kushinda. Ni siku ya kuomba nguvu ya mkono wa Mungu iwafikie wadhulumaji haki, nao wakishaipokea adhabu ya Bwana, haki ipate kutamalaki.

Wakristo wote wakatoliki, siku hiyo tumeambiwa tunatakiwa kufunga na kuomba siku nzima. Lazima Mungu atatenda dhidi ya wadhulumaji haki za watanzania.
 
View attachment 3391090
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya Mtakatifu Andrea Kagwa kanisa kuu jimbo katoliki Lindi.
Amani inawezekana ila haki ni mtihani mkubwa sana kwa mafisadi walioko madarakani
 
Kwenye maombi waweke yeyote atakaepora haki baya limkute

No reform No Election
 
Hayo ni ya Jimboni kwake na sio kwa majimbo mengine nchini. Hata hivyo, sie wa Majimbo mengine tunamtakia kila la heri Baba Askofu Pisa!
 
..wadai Reforms kabla ya uchaguzi.

..kuomba tunaomba miaka yote.

..hata 2019, 2020, na 2024, tuliombea haki na amani lakini uchaguzi uliibiwa.
Hiyo sio kazi ya kanisa katoliki kanisa linafanya maombi.

Chadema msijipe umuhimu wowote Tanzania tunaenda kwenye uchaguzi bila nyinyi na hakuna litalopungua
 
Amani inawezekana ila haki ni mtihani mkubwa sana kwa mafisadi walioko madarakani
"AMANI" bila "HAKI" inawezekana vipi?
Kutoonekana damu ikitilirika haina maana kuna AMANI!

AMANI ina mambo mengi ndani yake.
 
Hiyo sio kazi ya kanisa katoliki kanisa linafanya maombi.

Chadema msijipe umuhimu wowote Tanzania tunaenda kwenye uchaguzi bila nyinyi na hakuna litalopungua
Kwa hiyo nyinyi ndio wenye muhimu. Hiyo Tanzania mliinunua lini?
 
Hiyo sio kazi ya kanisa katoliki kanisa linafanya maombi.

Chadema msijipe umuhimu wowote Tanzania tunaenda kwenye uchaguzi bila nyinyi na hakuna litalopungua

..kwani Reforms wanazopendekeza Chadema zina ubaya gani kiasi cha kuleta ugumu kuzitekeleza?
 
Serikali ya CCM haifanyi reform kwa shinikizo la chama kimoja cha waropokaji. Kwenye Ilani ya CCM Samia ataleta katiba mpya.
 
..wadai Reforms kabla ya uchaguzi.

..kuomba tunaomba miaka yote.

..hata 2019, 2020, na 2024, tuliombea haki na amani lakini uchaguzi uliibiwa.
Kwamba Dua zao hazikubaliki au?
 
Back
Top Bottom