Rais Samia: Zanzibar ni eneo dogo lakini hatarishi

Baada ya hapo wataendelea kukwapua nafasi za mawaziri, jeshini vyeo vya juu, polisi vyeo vya juu, usalama vyeo vya juu, balozi, wakuu wa mashirika, n.k. na bila kusahau ni lazima raisi au makamu wa raisi awe mzanzibari.... huko mbele kutakuwa na raisi mZanzibar tena,,..... jamaa wamelamba dume .... Mtanganyika anachojisifu ni kwamba Zanzibar ni kama kamkoa lakini analalamika hawezi kupata ajira Zanzibar, hawezi kupata nafasu ya uongozi zanzibar, nk😂😂
Tuamke tuwafukuze huku kwetu
 
Ananikumbusha maneno ya Nyerere, niliwahi kumsikia mahali akisema; "kama angekuwa na uwezo, angekikokota hicho kisiwa akakitupilie mbali"

Hii maana yake wazanzibari wataendelea kuwa chini ya huu muungano watake wasitake mpaka mwisho wa dahari.
Mimi nilisoma kwenye kitabu cha kwa kheri Ukoloni kwa kheri Uhuru.
 
Nitafurahi sana watanganyika wakidhibitiwa kuingia kule, maana mingi haina kazi ya kufanya kule wanakuona kama ulaya
zanzibar ni takataka ukilinganisha na manispaa au jiji lolote la bara.

yaanii ni takataka rubish kunuka
 
Back
Top Bottom