Muda na angalizo la kulima ulishapita,
Onyo lilitoka tangu 2021,2022 na 2023,
Ishara ilikuwa kukauka Kwa Ruaha mkuu 2022, Mto Euphrate ulikauka 2022, jambo ambalo halikuwa tokea before.
Saiz ni utekelezaji, zitaanzia Bei za vyakula kupanda na ukame waja,
So kama ilikupita taarifa, toa pesa bank nunua chakula tunza.