KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Itakubidi usali sana hizo sala zako, kwani dalili zinaonyesha huko ulikoweka matumaini yako makubwa ni tofauti na unavyodhani wewe.Mafisadi watetea wachina na wezi wa kichina naona washaanza ufisadi.. Bahati nzuri sana sanaaa, Mama Samia naamini kwa 100% hawezi kuruhusu huu upuuzi.
Mh. Rais wetu awe makini sana sanaaa na wastaafu wa serikali ya 4 na Spika, sbb Spika amekuwa nae mtetezi wa wachina, hivyo, Mh. Rais wetu naamini yuko macho sana.
Mungu utusaidie, mafisadi wanajipanga na wako tunawaona. Mungu waangamize, Mungu utuokoe watanzania.