Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,764
- 5,227
Mimi nampenda sana Rais Samia.
Na ipo siku atajua kwamba nampenda.
Lakini nina uhakika nia yake ni njema, ila ukweli ni kwamba chama chetu cha CCM kimejishikiza kwenye dola.
Na yeye kama rais ameshindwa kupingana na nguvu hii.
Ukitaka kuamini, angalia Samia wa 2021 na wa 2025.
Yaani ni kama mbingu na ardhi.
Mungu amjalie afanye kama dhamira yake ya mwanzo.
Nakupenda rais wangu.
Mungu akubariki, na Mungu Ibariki Tanzania.