Rais Samia unayajuwa yanayopangwa gizani?

Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega

Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!

kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!

Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?

je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?

una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?

una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?

Rais Samia be careful !!
Utoto!
 
Embu naomba nikumbushe vile vyeo vya Idd Amin...
His excellency..........
President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular'
 
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega

Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!

kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!

Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?

je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?

una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?

una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?

Rais Samia be careful !!
Nami naongeza mkuu ,anayajua Mungu anayopanga?
 
Embu naomba nikumbushe vile vyeo vya Idd Amin...
His excellency..........
'His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular'.
 
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega

Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!

kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!

Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?

je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?

una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?

una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?

Rais Samia be careful !!
Vyovyote vile, lakini huyo chiba tu hatumtaki hapa. Arudishe watoto wake kwanza nchini Kisha ndo tuanze kumjadili.
 
Tulia mchepuko wa Mbowe. Na ww unaemda kufungua kesi lini dhidi ya cdm?
Mtaishia kandika matusi ya kitoto ila haitasaidia kuondoa sonona zenu!! Mmejidhalilisha sana!
 
Huna wasiwasi maana mumeo kashakujengea nyumba, lakini safari hii siasa za kidalali zimefikia mwisho.
 
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega

Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!

kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!

Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?

je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?

una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?

una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?

Rais Samia be careful !!
Huyu amekunywa nini? Vilevi vingine viacheni wajameni. Huyu atakuwa amechanganya K-vant na bangi
 
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega

Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!

kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!

Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?

je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?

una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?

una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?

Rais Samia be careful !!
Mtamua kwa Shell , mara huku, mara Yule , , mara kule
 
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega

Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!

kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!

Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?
Mkuu,
Kama yeye ndiyo kila kitu wewe una wasiwasi gani?

View: https://youtube.com/watch?v=YB7-cF_grvo&si=rUlH4LvZhQrVE30G
 
Nchi yenye watu 60+ unategemea kuungwa mkono na kila mtu? Je kuna nchi haina matatizo? Je kuna kiongozi aliye maliza matatizo ya nchi yake wakati wa utawala wake?
Hizi democracy kuna mda zilikuja kutu chelewesha maendeleo tu, maana mda tunao utumia kulumbana ni mwingi kuliko wa kazi. Na pia rai wa kawaida ni lazima tutambue tuna tumika tu kutimiza ndoto za watu. Let's do out own businesses.
Lakini na nyie watawala muwe na huruma na sisi watu wa kawaida, msitukamue sana. Wekeni mazingira sqfi ya biashara.
 
Kwa vile sijui kinapangwa nini gizani siwezi kushabikia kisiwe kibaya kuliko hili la mama kupora ugombea urais. Wanaccm wengi kwa uhakika tulitaka kuona mgombea mlengo wa kimagufuli mama na nchimbi wake wakatuchezea rafu. Tuna hofu ya wizi wa umma kurejea kwa kasi na nchi kuuzwa kwa waarabu. Mungu tuhurumie.
Una hofu?? Wakati nchi imeuzwa tayari. Wamebakiza nini tena. Bandari tayari, misitu tayari, madini yameenda, mbuga za wanyama wamejazana waarabu, makaa ya mawe yanasombwa kwa malori usiku na mchana. Zanzibar inajengwa usiku na mchana kwa hela na mikopo ya watanganyika. Watanganyika wananuka umaskini na mateso.
 
Tutamshtaki kwa Mungu ili baba wa mbinguni aingilie kati kama alivouingilia utawala wa dictator katili Nduli Mwendazake
 
Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega

Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!

kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!

Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?

je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?

una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?

una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?

Rais Samia be careful !!
Yaani wewe ujue then raisi ambaye vyombo vyote vya dola vipo chini yake asijue??
 
Back
Top Bottom