Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

Makada wanatafuta huruma kwa umma, lissu hawezi kunyongwa kamwe, lissu anafunzwa adabu nzuri na jinsi ya kuutumia mdomo wake kwa manufaa.
Unaanzisha kesi ambayo hukumu yake ni kunyongwa halafu unaanza kusema hawezi nyongwa,yaani unaanza ogopa tekeleza hukumu.Hata asiponyongwa kufungwa maisha yako yote ni kama umenyongwa tu
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Kwamba Lissu alietaka tufanye uasi na uhaini alitaka nani afe sasa? Kwenye uasi na uhaini lazma vifo vitokee sasa hao ambao wangepoteza roho zao wao si watu?
 
Kwani kushtakiwa ndiyo kumanisha tayari umeshindwa kesi? Mbona yeye Lissu alisema watanikamata na kunifunga
 
Vipi kiongozi wa chama kuhamasisha uhaini na uasi dhidi ya serikali halali?

Kuasi mifumo kandamizi ni kitu sahihi
Haina tofauti na kupindua mifumo kandamizi.

Nyerere alikuwa anatumia neno mapinduzi mara nyingi tu kumaanisha changes, hadi akakiita chama chakr chama cha mapinduzi. Je alikuwa akimaanisha uhaini?
 
Hatathubutu kufanya hivyo kwasababu hayo mauwaji yatakayotokea huku mitaani kama sehemu ya kulipa kisasi yataiacha Dunia mdomo wazi. Target itakuwa ni
Polisi
Wana ccm
Ofisi za uuma
Ofisi za ccm
Asset za ccm
Baracks za polisi
Nk
Kiufupi hawawezi kufanya hivyo kamwe sio wajinga wanajua nguvu ya LISU.
Nguvu ya Lissu ukiwa kwenye keyboard
 
Kuasi mifumo kandamizi ni kitu sahihi
Haina tofauti na kupindua mifumo kandamizi.

Nyerere alikuwa anatumia neno mapinduzi mara nyingi tu kumaanisha changes, hadi akakiita chama chakr chama cha mapinduzi. Je alikuwa akimaanisha uhaini?
Unaongea usichokijua kwahiyo nitakua napoteza muda...Eti mfumo kandamizi.Mfumo kandamizi ambao unakulinda ufanye mikutano yako ya kisiasa nk Vipi kuwafukuza wanachama wamama 19 na Catherine Ruge huo sio ukandamizaji?
 
Na sisi Watanganyika wajinga sana kutawaliwa na Mzanzibar tunachekelea.
Watanganyika wamegawanyika, wa CCM kipaumbele chao ni kupambania matumbo yao. labda ukiwaondoa Warioba, Mpina wengine hawajali maslahi ya Taifa.

Watu CDM wamegawanyika wanapambana na Magufuli, G55, Mbowe, CCM. Kipaumbele chao ingetakiwa kuunganisha chama, wawe wamoja na kupambana na mtawala wa sasa kwa umoja wao.
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Mpango wake sio kumnyonga, hata Samia japo ni mtu katili sana kwa yoyote anayeutaka urais au kumpinga katika kuendelea kuwa rais kama tulivyoona alivyojipitisha kugombea urais CCM, kumtimua Ndugai, kumfunga Slaa, Mbowe, Mwabukusi.

Mpango wake ni kumshikilia ndani mpaka uchaguzi uishe, kudhoofisha na kupunguza, ushawishi na nguvu ya Chadema kuondoa upinzani wowote wa maana. Atamwachia Lissu badala ya uchaguzi.
 
Kwajyo hatutakiwa kitawaliwa na mzanzibari? Anatakiwa nani? Hii dhambi ya ubaguzi mnayotaka nyie watu majinga haitatuacha tukiichelea na ww ndyo mjinga kwl kwl badae itakuja ubaguzi wa mikoa kama sio makabila....! Kuwa upinzani haimaanishi ww ni intellectual unaeza kuipinga serkali na ukawa taahira vilevile
Umewahi kumuona Mtanganyika kwenye Bunge la Mapinduzi?? Je umewahi kumuona kwenye kinyang'anyiro cha Urais?? Huu ni Muungano au Mchongo wa kuilinda CCM??
 
Maajabu mtu wa nchi nyingine anatumia mahakama za Tanganyika kutaka kumnyonga hadi kufa Mtanganyika mwenzetu.
 
Akimuua Lisu majeshi ya tz hayawezi kutuzuia wananchi kwa kile watakacho kifanya. Lisu yupo mioyoni mwa Watanzania wengi. Ndio maana nasema hawezi kuthubutu kufanya hivyo.
Hao Wananchi ni kutoka Nchi gani? Kama ni KUKINUKISHA, ingekuwa pale alipotandikwa 'MASASl'! Hakuna aliyekohoa! Juzi hapa, amekamatwa kama kuku, wote tupo kimya, tunakuja kutoa hasira zetu kwenye mitandao tu! Watawala, walishatujua. Hatuna lolote! Wanaweza kutufanya chochote, na HATUFANYI CHOCHOTE!
Huyo KASIMU, MPANGO na NCHIMBI, tulitegemea wao ndio WATETEZI WA WATANGANYIKA, na wao ndiyo wameungana na akina MWIJAJU kuwa MACHAWA, wa kuimba mapambio, 'MAMA, MITANO TENA' na kuwakaba WATANGANYIKA wenzao!
 
Mpango wake sio kumnyonga, hata Samia japo ni mtu katili sana kwa yoyote anayeutaka urais au kumpinga katika kuendelea kuwa rais kama tulivyoona alivyojipitisha kugombea urais CCM, kumtimua Ndugai, kumfunga Slaa, Mbowe, Mwabukusi.

Mpango wake ni kumshikilia ndani mpaka uchaguzi uishe, kudhoofisha na kupunguza, ushawishi na nguvu ya Chadema kuondoa upinzani wowote wa maana. Atamwachia Lissu badala ya uchaguzi.

Huenda huo ndo mpango wake, lakini wananchi huku mtaani wanamuona ni rais katili mwenye lengo la kumnyonga Lissu
 
Lissu ni mpumbavu,anataka kinuke wakati yeye ana passport na familia yake wako ulaya?

Anataka nchi yetu iwe kama Congo?

Kwa nini asivumilie mabadiliko yanakuja polepole!

Magufuli aliipenda nchi,yeye alimtusi,Mama anasema tusahau ya kale tujenge nchi yeye anamdharau!
Huyu mtu ni mtu gani huyu asiyeona jema?
Hivi kweli una akili timamu wewe? Kwanini aliyoyasema TL asijibiwe?
 
Kwamba Lissu alietaka tufanye uasi na uhaini alitaka nani afe sasa? Kwenye uasi na uhaini lazma vifo vitokee sasa hao ambao wangepoteza roho zao wao si watu?
Huu ni ushahidi tosha kuwa kila chaguzi serikali ya CCM inawaua wachache kwa kisingizio cha kuwanusuru wengi.
 
Na sisi Watanganyika wajinga sana kutawaliwa na Mzanzibar tunachekelea.
Hakuna wajinga na wapumbavu kama JEIDABILIYUTIZEDI fursa wameichezea ...ili kuwa ni fursa ya pekee.... nguvu wanayo sababu wanazo na uwezo wanao ila wanakula na ku💩 tu makambini😁
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Rais ametishwa na ametishika,Rais amedanganywa na amedanganyika,mambo yote haya mawili yanaonyesha kuwa Rais ni dhaifu kwani ameshindwa kubaini kuwa hao wanaomtisha na kumdanganya wanafanya hivyo kwa nia ya kumharibia na yeye amekubali kuharibiwa haiba yake. Picha inayoonekana sasa ni kuwa Rais Samia ni dikteta hadi ameanza kuunganishwa na kundi la kina Kagame na Museveni. Kama ulivyomshauri anayo hiari ya kujivua na vazi hili jipya la udikteta au aendelee kulivaa,na pia ni wakati sasa awaone wanaompa ushauri huu kuwa hao ndiyo maadui wake wakubwa. Nakumbuka kuna wakati Rais Samia mwenyewe aliwahi kusema kuwa kuna mstaafu mmoja aliwahi kumtonya kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni wale wavaa mashati ya kijani wenzako.
 
Back
Top Bottom