Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

Suala la kumnyonga Lissu halipo, hayo ni maneno ya kutapatapa ya chadema ili kuzua taharuki na kutaka kuonewa huruma.
Hizi ni akili za kipumbavu. Ni nani "anazua taharuki", huyo anayebambikia kesi zisizo na uhusiano na kosa au anaye onewa?
Kama unajuwa "Suala la kumnyonga Lissu halipo...", hiyo kesi ya uhaini ni ya kitu gani; Serikali imegeuka kuwa ya maigizo?
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Yapo mambo ni siri mpaka yatakapo funuliwa kwetu
 
Kama ametenda kosa ni sawa ,uzuri hakuna hukumu ya kifo imewahi tekelezwa baada ya Nyerere Hadi hapo Rais wa Chadomo atakapokuja maana ndio wanasema watawanyonga mafisadi na wahaini.
 
Wananchi wa mitaa ipi, ukae kitandani kwako uandike upuuzi wako eti mitaani. Hakuna mwenye muda na huyo kibaraka. Subirini uamuzi wa mahakama. Jambo liko mahakamani kwanini kila siku mnaandika maupuuzi yenu humu?
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Uzi wa kishamba sana
 
CCM hawajui maana ya uhaini na hii itawagharimu sana kumbe wote tunao kataa mifumo kandamizi ya uchaguzi ni wahaini

Someni kuhusu 'ostracism' mtanishukuru sana
 
Hatathubutu kufanya hivyo kwasababu hayo mauwaji yatakayotokea huku mitaani kama sehemu ya kulipa kisasi yataiacha Dunia mdomo wazi. Target itakuwa ni
Polisi
Wana ccm
Ofisi za uuma
Ofisi za ccm
Asset za ccm
Baracks za polisi
Nk
Kiufupi hawawezi kufanya hivyo kamwe sio wajinga wanajua nguvu ya LISU.
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Lissu ni mpumbavu,anataka kinuke wakati yeye ana passport na familia yake wako ulaya?

Anataka nchi yetu iwe kama Congo?

Kwa nini asivumilie mabadiliko yanakuja polepole!

Magufuli aliipenda nchi,yeye alimtusi,Mama anasema tusahau ya kale tujenge nchi yeye anamdharau!
Huyu mtu ni mtu gani huyu asiyeona jema?
 
Kosa alilofanya lissu ni lipi..?
Maana unaonekana punguani
 
Kosa alilofanya lissu ni lipi..?
Maana unaonekana punguani
Kauli zake ni za hovyo sana!
Dhamira yake sio nzuri kwa nchi!
Amejaa tamaa ya madaraka na kiburi,mtu asiyemcha Mungu,anaongozwa na hisia zaidi kuliko akili,anaweza kuhamasisha machafuko kwa wapumbavu kama yeye,hafai kabisa kuaminiwa hata kidogo
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.

View: https://www.instagram.com/reel/DIija_bTCAw/?igsh=ODFrOHg1bndoMTUx
 
Kauli zake ni za hovyo sana!
Dhamira yake sio nzuri kwa nchi!
Amejaa tamaa ya madaraka na kiburi,mtu asiyemcha Mungu,anaongozwa na hisia zaidi kuliko akili,anaweza kuhamasisha machafuko kwa wapumbavu kama yeye,hafai kabisa kuaminiwa hata kidogo
Tamaa ipi mzee angekua na tamaa si angelamba asali..? Tumia akili zako vzri. Una ujinga mwingi. Kauli zake zimenyooka unataka akamsifie chura kiziwi.. na wizi wa rasilimali za hii nchi.. hakuna mnyanganyi wa ccm anaempenda lissu.
 
Kama ametenda kosa ni sawa ,uzuri hakuna hukumu ya kifo imewahi tekelezwa Hadi hapo Rais wa Chadomo atakapokuja maana ndio wanasema watawanyonga mafisadi na wahaini.
Kumbe wewe ni mtoto hata hujui kuwa aliye muua mkuu wa mkoa wa Iringa alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa na Nyerere akathibitisha humu hiyo na mtu akanyongwa.
 
Kama ametenda kosa ni sawa ,uzuri hakuna hukumu ya kifo imewahi tekelezwa Hadi hapo Rais wa Chadomo atakapokuja maana ndio wanasema watawanyonga mafisadi na wahaini.
Kumbe wewe ni mtoto hata hujui kuwa aliye muua mkuu wa mkoa wa Iringa alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa na Nyerere akathibitisha humu hiyo na mtu akanyongwa.
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Huyu anasukumwa na mafisadi na majizi yanayotaka kuendelea kuiba mali za Tanganyika yetu. Wanaogopa Lissu anaweza kukata mirija yao hivyo wanatumia nguvu kubwa kuona hilo halitokei
 
Ukweli hii imepelekea wananchi kuanza kumchukia saba.
Tunashauri atumie nguvu zake kuondoa kesi hii mara moja, na akutane na viongozi wa vyama vya upinzani vyote ili wapate suluhu ya pamoja.
Hii dhambi ya kumnyonga mtu asiye na hatia itaathiri ukoo wa mheshimiwa Rais milele na milele.
Sisi tunaompenda kwa dhati, tunamuwambia ukweli.
 
Back
Top Bottom