Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

Samia ni katili sana tu. Anajificha kwenye jinsia yake, dini yake na Uzanzibari wake akiaambiwa anakosea mfano kuuza bandari, kuwafukuza Wamasai, kuuza misitu, tozo, ufisadi, mikopo ya hovyo, teuzi za hovyo, rushwa, kuua demokrasia ndani ya chama chake na kwa wapinzani wake.

Hayo anayoyafanya angekuwa Ruto, Museveni, JPM, Kagame watu wote wangepiga kelele sana hata Zitto, Mbowe. Hana tofauti na hao ila yeye hana vision yoyote, hana uzalendo wowote anautaka urais kwa ajili ya mamlaka, pesa, kutanua, kusafiri.

Alipoingia madarakani baada ya kifo cha JPM sikudhani kama anaweza kuwa Insensitive kiasi hiki
 
Suala la kumnyonga Lissu halipo, hayo ni maneno ya kutapatapa ya chadema ili kuzua taharuki na kutaka kuonewa huruma.
...huruma alionewa huko nyuma. Kwa sasa hapa ni kazi tu, na kazi iendelee

...wananchi kwa sasa wanatambua kuwa Ushawishi mkuu wa kupigiwa kura chama chechote ni Sera na sio Vitisho na "maneno ya kutapatapa"

wananchi vilevile wanatambua lengo la mtu kunyongwa ni kuwa ni afe tu??

...au walitaka anyongwe, atikisike tikisike vyuma ving'oke halafu tumuonee huruma tena? Mama weee!

CHADEMA wanataka kwa udi na ugumba kuutwaa utawala wa nchi hii kwa mabavu, uasi, bila ya idhini ya Wananchi. Idhini ya mwananchi ni kukubali sera ndiyo anatoa Kura.

=====
....kipindi cha nyuma CHADEMA walimtoa kafara Laigwanaan Tundu😌😌 ...waache mipango yao ikamilike
 
Ajichanganye aone hatma yake itakavyokua. Sisi sio wajinga bwana ila tumekaa kimya kwa mustakabali mzuri wa nchi yetu.
 
Kauli zake ni za hovyo sana!
Dhamira yake sio nzuri kwa nchi!
Amejaa tamaa ya madaraka na kiburi,mtu asiyemcha Mungu,anaongozwa na hisia zaidi kuliko akili,anaweza kuhamasisha machafuko kwa wapumbavu kama yeye,hafai kabisa kuaminiwa hata kidogo
Aupate ujumbe huu.
"Apenyezewe" na wale wapenyezi wa Kibaraka mwenzake....jina kapuni, yule aliyeandika kitabu cha uwongo Juu ya Hayat Rais J.Pombe Magufuli.
 
Back
Top Bottom