Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

Hapo vip!!

Kwanza kwaheshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake...
Sawa amekusoma ataendelea kuwajaza wazanzibari wenzake, hata mahali wasipostahili 'non union matters', Stupido!.
 
Hii Misukuma Gang ina Chuki na kijinga na kipuuzi sana.sasa mnataka tuuziwe sukari kilo elfu10 eti? Huyu Rais ni Mchumi by professional sio kama yule mwenye PhD ya kubumba muelewe hilo kwanza...
Siyo mchumi bwana. Anajiita tu Mchumi.Alisoma Public administration
 
Hawazungumzii kumpunguzia Bei Mlaji, Wanashindana kupiga deal... Wanalinda Sukari ya Ndani kwa gharama kubwa kwa mwananchi. Ingizeni Sukari mshushe bei.
 
Balozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu...
Absolutely FACT.
 
Mh.Rais SSH yuko sahihi sana.....

Uamuzi huo UTAMPUNGUZIA mzigo mlaji.

Uamuzi huo UTAONGEZA chachu ya uzalishaji wetu wa ndani.

Uamuzi huo si MILELE.

Uamuzi huo unaimarisha DIPLOMASIA yetu ya KIUCHUMI na UGANDA.....tusisahau Uganda walilichepusha KENYA bomba la mafuta ,likatokea Hoima mpaka Chongoleani mkoani Tanga.

SIEMPRE JMT👊
KAZI INAENDELEA KWA KASI💪
NCHI KWANZA 🙏
 
Kabla hatujaongea kihisia,kichuki,kishabiki na kiitikadi..angazia swala la sementi...leo hatuagizi sementi kutoka nje..matokea yake sementi imepanda juu sana kwa mtumiaji wa chini..nadhani katika east Afrika ni mtanzania pekee ndio ananuanua sementi gali...
Kwa taarifa yako Tanzania inaexport Cement kwenda nchi za nje haswa Congo DRC, Burundi, Zambia, Msumbiji nk hao wamiliki wa viwanda ni wahuni wanazalisha kwa lengo la kuuza nje ya nchi
 
Hii Misukuma Gang ina Chuki na kijinga na kipuuzi sana.sasa mnataka tuuziwe sukari kilo elfu10 eti? Huyu Rais ni Mchumi by professional sio kama yule mwenye PhD ya kubumba muelewe hilo kwanza...
Kwanini asitoe unafuu wa maisha kwenye vifaa vya ujenzi na petrol? rubbish
 
Sina tatizo na kununua sukari Uganda kama uzalishaji wetu ni mdogo. Swali nalojiuliza inakuwaje Uganda waweze kuzalisha sukari ya kuweza kutuuzia mapaka watanzania wakati tunayoukosefu waajira wakutupwa hii nchi na ardhi ipo ya kutosha
 
Hili ndio swali LA msingi mkuu LA kujiuliza
 
Back
Top Bottom