Nikupe idea? Jikusanyeni watu watano, Nendeni pale bonde la msimbazi karibia na jangwani, zameni mule mtoni muwe mnatoa mchanga, kwa siku hamkosi laki kila mmoja wenu. Kuna madogo wananitolea mchanga mule, hawajui kusoma wala kuandika, wanatoa lorry za kutosha na kunipakilia kabisa..., si chini ya laki 5 wanatengeneza kila siku, mvua ikinyesha kwao ni furaha tu, maana mchanga unakuja mwingi sana! We endelea
Afisa wa NIDA anapita hapa akiwa kafumba machoNikupe idea? Jikusanyeni watu watano, Nendeni pale bonde la msimbazi karibia na jangwani, zameni mule mtoni muwe mnatoa mchanga, kwa siku hamkosi laki kila mmoja wenu. Kuna madogo wananitolea mchanga mule, hawajui kusoma wala kuandika, wanatoa lorry za kutosha na kunipakilia kabisa..., si chini ya laki 5 wanatengeneza kila siku, mvua ikinyesha kwao ni furaha tu, maana mchanga unakuja mwingi sana! We endelea kulia lia