Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,317
- 18,493
Hapo zitapigwa pesa kama hazina akili nzuri, royal tour na anwani za makazi kuna mtu anaongelea tena?Nakuchora Ramani Mpya ni Mchakato
Bilioni 130 mkuu, hii nchi ni hatari balaaHaya Sh ngapi zitatumika kwenye hilo zoezi?
Daaaa vipi kuhusu Ziwa Nyasa Malawi? Mpaka utawekwa wapi ?? Wasisahau Kzmkz kuionyeshaa najua ndio sbb kuuuuu hakuna jipya....Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko kwenye mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyopo. Amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978.
Rais samia ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023) uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC) - Dodoma.
mpaka unatakiwa kupita katikati ya ziwa, kwa sababu hata msumbiji mpaka upo katikati, ila ukija kaskazini malawi wanasema tz isiwe katikati. hoja yao kuu ni kwamba, kulishawahi kuwa na mkataba wa kikoloni, na hoja nyingine ni kwamba Tanzania ina maziwa mengi nje ya nyasa.Daaaa vipi kuhusu Ziwa Nyasa Malawi? Mpaka utawekwa wapi ?? Wasisahau Kzmkz kuionyeshaa najua ndio sbb kuuuuu hakuna jipya....
Billion 600 haya kuna shida?Haya Sh ngapi zitatumika kwenye hilo zoezi?
Itachora yenyewe au itakodi wachoraji kutoka UlayaRais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko kwenye mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyopo. Amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978.
Rais samia ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023) uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC) - Dodoma.
Kwaiyo wanataka tuwakaushie kisa tuna maziwa mengi hahahaha wanazingua. Ila Kama vipi watupe pesa tuwauzie ziwa upande wote wa Tanzania alafu pesa ijenge bandari kubwa kavu Morogorompaka unatakiwa kupita katikati ya ziwa, kwa sababu hata msumbiji mpaka upo katikati, ila ukija kaskazini malawi wanasema tz isiwe katikati. hoja yao kuu ni kwamba, kulishawahi kuwa na mkataba wa kikoloni, na hoja nyingine ni kwamba Tanzania ina maziwa mengi nje ya nyasa.