Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Dah... mods hawana maana kabisa. Nachelea kusema neno nisijekujikuta natamka yale maneno kuntu.... NIMEKOSA MIMI....Mada imechelewa kuruhusiwa na mods kuingia jukwaani mkuu. Hotuba imeisha
Dah... mods hawana maana kabisa. Nachelea kusema neno nisijekujikuta natamka yale maneno kuntu.... NIMEKOSA MIMI....Mada imechelewa kuruhusiwa na mods kuingia jukwaani mkuu. Hotuba imeisha
Zile sinema za mwendazake achana nazo kabisa. Shirika eti linatoa gawio afu baadae linaomba ruzuku serikalini... Mwenda alitufanya mazombie sana daadekiATCL, TTCL. Tulipata magawio kutoka mashirika.
Hahaha ATCL.... mamamamae walah. Mwendazake alikuwa mchawi. Alituloga mpaka tukajisikia fahari kuitwa wanyongeATCL, TTCL. Tulipata magawio kutoka mashirika.
NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANAKwanini asiende kukopa apate za kuunganishia watu umeme?
Machinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
NIMEKOSA MIMI, NIMEKOSA MIMI, NIMEKOSA SANA.Machinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Ukitokaa kwenye umeme mama ,uje kutudai mpk tozo ya pumzii zetuuu
Hawa walijiona miungu watu sababu ya Bwana yule. Sasa acha tuisome namba wote.Umehama CCM mkuu?
😁😁😁 cha moto sasa wanakiona watu wote...na hapo sindano haijaingia yote bado
Sera ya serikali iliyopita ilikuwa ni umeme ufike mpaka vijijini.. hakuna mwanachi ambae ameshindwa kulipa Ada ya 20,000 Kwa mwafunzi akaweza kulipa 420,000 kama gharama za awali kuunganishiwa umeme.Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche.
Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani.
Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka waziri asiogope kueleza suala hili kwa wananchi.
"Hapa katikati Tanesco iliharibiwa kwa kusema eti gharama za kuunganisha umeme ziwe sh 27,000/=".
Sasa nawauliza, mnamfahamu aliyetoa wazo hili la kiuharibifu kwa Tanesco?
Utajua hujuiMachinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Pale ambapo unaenda kwenye paper na madesa yote, mara paap paper imeahirishwa!Machinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Hahaha.Zile sinema za mwendazake achana nazo kabisa. Shirika eti linatoa gawio afu baadae linaomba ruzuku serikalini... Mwenda alitufanya mazombie sana daadeki