Duh...!.Bwahaaa, bwahaaaa nimecheka kwa nguvu mpaka bia imetokea puani. Yaani hapa nilipo ni kama namuona Kabudi na yale mamisamiati yake ya kiswahili.
Tartibu mkuu...
Duh...!.Bwahaaa, bwahaaaa nimecheka kwa nguvu mpaka bia imetokea puani. Yaani hapa nilipo ni kama namuona Kabudi na yale mamisamiati yake ya kiswahili.
Kelelee nyiiingiii....🤣🤣🤣🤣🤣🤣Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam
==========
Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru kwa Imani kubwa ambayo amewekeza kwao na wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Mbowe aliwahi kusema watanzania wapewe chanjo. Sijui alikuwa na lengo gani!
Changamaka ila usiwe mamluki, utagunduliwa tu kwani huko kwenye CHAMA TAWALA na Serikalini kuna "vipimo" vingi na "upekuzi" mwingi kiasi cha kuweza kubaini "pumba na mchele". Songa mbele na kila la heri!
Inasikitisha huyu mama karudisha ikulu dar kimizengwe. Kwani shughuli ya kuapisha mabalozi haiweze fanyanyika dodoma mji mkuu wa nchi hadi iletwe dar. Hebu wakuu semeni kitu kuhusu hii movie maana wengine inatukera sana. Au ndivyo kina mama wanaendesha mambo.?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam
==========
Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru kwa Imani kubwa ambayo amewekeza kwao na wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki. Amesema ameishi katika wizara hiyo kwa miaka mingi na hakumbuki kama ishawahi kutokea hivyo...
Kaleta pia hofu ya ugaidi,anajikaanga kwa mafuta yakeAnakomalia Utalii wakati amekwishaleta hofu ya Corona nchini, anategemea watalii wa kutoka wapi?
Sukuma Gang ndiyo wanaongoza kumponda Mama wanamtaka Askofu Rashid Gwajima.Makamanda wanamponda Mama
Tutaitumia kwenye jambo hili baada ya kusikia vilio vyenu, tunataka fedha hizi zikajenge barabara za vijijini" @SuluhuSamia Ikulu leo
Anakomalia Utalii wakati amekwishaleta hofu ya Corona nchini, anategemea watalii wa kutoka wapi?
Hizi tozo za miamala ya simu tujiandae kuzizoea tu, kwa hii kauli ya Rais wanaweza ondoa 1%
Sawa sawa, anaendelea kuupiga mwingi. Mama yetu ni msikilizajiKutoka chato Mkuu 😂😂😂😂
Kwahuyu mama hata angeongoza marekani kodi za kipuuzi zingewekwa tu. Alishindwa nini kuongeza kodi kwenye mabenk ambako watumiaji wake niwatu wa uchumi mzuri anaweka kwa miamara ya mitandao ya sim ambayo watumiaji wake ni wakulima na wafugajiYote haya chanzo ni mwendazake baada ya kuuwa uchumi,kaua sekta binafsi,kakimbiza Wawekezaji,kaanzisha miradi ya sifa,leo atukopesheki wamebakia kukamua wananchi