Rais siyo mtaalamu wa kila kitu, ukiona hotuba haijakaa sawa wataalamu waliobobea kwenye hilo eneo hawajawa consulted kutoa mitazamo yao au chambuzi zao kuhusu hilo eneo kabla ya kuandaa hotuba......Kuna utofauti kati ya hotuba ya kuandikiwa na ya kujiandalia
Lugha lugha hii ya kigeni tujifunze, ukiwa na vocabulary chache sana inakuwa ngumu kucheza na lugha ya kigeni ukaleta mvuto wa kusikilizwa.
Watu wenye kaliba ya magufuli wangesubutu kwenda kwenye majukwaa makubwa kama haya? Hii ni annual meeting ya Mataifa duniani kukutana kila mwaka kujadili agenda ya global climate change. Ulishahi kusikia agenda hii ikigusiwa ktk utawala Wa awamu ya tano? Kwanini? Kwa sababu hawakuwa washiriki licha ya wachangaji!Hapo ndio uwezo wa mama yetu unaishia. Ni vema umeweka hotuba ya huyo kiongozi wa barbado kulinganisha. Mama yetu jukumu lake atuvushe hadi 2025 tuweze pata magufuli mpya. Mambo mengi ya kimataifa including ubeberu mama hana uelewa. Tumsadie kuhakikisha watu wema na weledi wanamzunguka maana fisadi wasije mshika.
Haaaa ila inzi na nyuki wote ni wadudu warukao(mvuto wa harufu zipi)Mvuto nao ni relative. Anachopenda na kuvutiwa inzi na nyuki ni tofauti!
Kwa kawaida Rais anapozungumzia masuala yanayohusu jumuiya ya kimataifa anakuwa anazungumza kwa niaba ya sisi Watanzania kwa maana kuwa anaueleza Ulimwengu Tanzania inasema nini katika agenda inayojadiliwa. Ushauri wangu wa dhati kabisa ni kila mikutano hii mikubwa ambayo Rais wetu anategemewa kuzungumza kwa niaba yetu wote basi atumie hazina ya vipaji vyote vya Watanzania kuhusu somo hilo.Suala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere.
Wakati wa Magufuli hazikujitokeza kabisa kwa kuwa hakusafiri nje ya nchi. Rais Samia ameingia na tabia ya kusafiri nje kwa kujitangaza, kuifungua
Huyu ndiyo rais sasa. Lkn huyu wa kwetu ni chifuSuala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere.
Wakati wa Magufuli hazikujitokeza kabisa kwa kuwa hakusafiri nje ya nchi. Rais Samia ameingia na tabia ya kusafiri nje kwa kujitangaza, kuifungua nchi.
Kama huelewi lugha vizuri hata kama upo vizuri upstairs utaonekana kilaza unapozungumza. Mama angechalaza kiswahili.Lugha lugha hii ya kigeni tujifunze, ukiwa na vocabulary chache sana inakuwa ngumu kucheza na lugha ya kigeni ukaleta mvuto wa kusikilizwa.
Huyu ndiyo rais sasa. Lkn huyu wa kwetu ni chifu.Suala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere.
Mama aliongea vizuri sana...Suala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere.
Viongozi hawafanani na kuna njia nyingi za kutoa ujumbe. Mara nyingi mtu anayeongea kwa lugha ya upambanaji " combative style" na akawa na data za kufikirisha anafurahisha kumsikiliza. Tunampongeza Rais wetu kwa kuthubutu bila kujali kama maono yake yatapokewa vipi. Nchi zetu zipo njia panda - mataifa yaliyoendelea yanataka kuacha matumizi ya petroli mwaka 2050 sisi tuko kwenye harakati za kujenga bomba la mafuta, kuchimba mkaa wa mawe, wananchi bado wanakata miti kwa ajili ya nishati ya mkaa - sasa ukienda kwenye jukwa la kupunguza uharibifu wa mazingira , utasema nini?Kuna utofauti kati ya hotuba ya kuandikiwa na ya kujiandalia
Bora Mama katufikisha hapo... Tuliko toka ni kubaya zaidi!Watu wenye kaliba ya magufuli wangesubutu kwenda kwenye majukwaa makubwa kama haya? Hii ni annual meeting ya Mataifa duniani kukutana kila mwaka kujadili agenda ya global climate change. Ulishahi kusikia agenda hii ikigusiwa ktk utawala Wa awamu ya tano? Kwanini? Kwa sababu hawakuwa washiriki licha ya wachangaji!