Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,469
- 1,697
- Thread starter
- #21
Asante sana Pascal Mayalla kwa ushauri wako. Nitauzingatia. Natambua watanzania wengi kwenye technology ni Zero Brain. Wanadhani kuwa udaku wa kisiasa ndiyo msingi wa maendeleo ya nchi wakati kumbe Media za kiganjani ndiyo adui wa umasikini wao.Duh...!. Mkuu Maneno Meier , kumbe Bunge ndio linapitisha mikopo ya deni la taifa?!.
Umeleta hoja nzuri, muhimu na mujarab ya Helium, lakini ukaichafua hoja yako kwa kuichanganya na yale makorokocho ya Lissu, na ulipo ingiza na hoja ya deni la taifa ndio ukaharibu kabisa!.
Tangu lini deni la taifa linapitishwa na Bunge?. Mtu imeleta hoja nzuri na muhimu kama hii ya Helium with facts, figures and prospects kitendo cha kuingiza makorokocho, na kuzungumzia deni la taifa kwa kuonyesha ukilaza, kumepelekea ku I contaminate and washdown and undermine your intellect kwenye Helium kuonekana ume cut tuu mahali na ku paste, kwasababu haiwezekani mtu mwenye data na facts za jambo kubwa na muhimu kama hili la Helium linalohitaji akili kubwa kuwa tukichimba tuu Helium, Tanzania hatutahitaji kukopa, halafu hapo hapo ukaonyesha ukilaza kwa hoja ya deni la taifa kuidhinishwa na Bunge!, unakuwa hijaitendea haki hoja muhimu ya Helium.
Ushauri:
Ukiwa na hoja muhimu kama hii, iache hoja isimame yenyewe, usichangaye na makorokocho mengine, na kwa vile Watanzania wengi wanapenda zaidi makorokocho kuliko hoja za msingi, angalia michango ya bandiko hili kati ya watakao changia hoja muhimu ya msingi ya Helium na hayo makorokocho uliyoyaungenishia!.
Heri ya mwaka mpya.
P
Sikumaanisha deni la Taifa isipokuwa mikopo ambayo serikali inataka kukopa ndiyo inayo paswa kupitia bungeni.