Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

Hawawez kukuelewa ila ipo siku siku watakuelewa, mtihani anao ila mpka sasa amejua kucheza nao kwa kila namna anavyochezewa na kupangua punch zote kupigilia misumari
Kwa watu wa aina yako ndiyo maana mpaka leo CCM Iko madarakani!
 
Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
 
Ngoja upate majibu freshi, naona unachokoza watu!
 
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄
Mshana Jr unajua Mwenyekiti wangu Dkt Samia kosa lake kubwa kabisa ni kudhani Dkt Magufuli alikuwa mtu mbaya sana (rejea usemi wa Dkt Kikwete, usirithi adui wa mwenzako, tengeneza wa kwako ila mwisho wa siku akasema hakuna haja ya kutengeneza adui maana hakuna maana), sasa Dkt Samia, rais wetu alirithi adui wa Dkt Magufuli akawashughulikia na akaanza kutengeneza wa kwake na ndiyo haya matokeo. Ila nasema muda wa kujirekebisha anao, yaani akijitokeza kwa watanzania na kujiliza wamsamehe na ashughulikie mfano utekaji, atumbue kazaa wabadhirifu aisee ataupiga mwingi balaa.
 
Nina imani kuna mkagua nyuzi wenu, kiongozi huyo hana masihara kama hauoneshi ulichokipost kwa siku.

binafsi nitamuomba, alegeze masharti.
 
Duuh aisee Africa ? Unachanganya ugoro kwenye pombe unategemea nin ukinywa ?
 
Wewe ulitakiwa uitwe kinembe
 
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.

Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia

Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Uliunga C pale advance ukakosa ukaenda njia za wizi wizi kisisieemu ukaingia giningi sasa hauna lakutueleza ilihali wewe ni kilaza mbobevu teena chawa wa machawa.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Kwa watu wa aina yako ndiyo maana mpaka leo CCM Iko madarakani!
Au sio, ww umeshaingia kweny mfumo wao siwez minyana na ww coz unangalia mambo kwa lense ambayo umeshalishwa na kukaririshwa na wapinzani (plus na vibaraka wao waliowatuma) ila bigger picture matatzo yapo kwel ila wala hayak kama unavyoaminishwa ww na ukwl utabaki pale pale wameshafanikiwa kwengine ila hapa hawatafanikiwa kwa hzo njia wanazotumia

We endelea kushangilia mtanange dunia hii ni ya wazi hakuna jipya juu ya hizi purukushani, visa, hujuma, propaganda etc ila hii nchi haiwez kuwa hvyo unavyotaka ww au unavyoaminishwa
 
Au sio, ww umeshaingia kweny mfumo wao siwez minyana na ww coz unangalia mambo kwa lense ambayo umeshalishwa na kukaririshwa na wapinzani (plus na vibaraka wao waliowatuma) ila bigger picture matatzo yapo kwel ila wala hayak kama unavyoaminishwa ww na ukwl utabaki pale pale wameshafanikiwa kwengine ila hapa hawatafanikiwa kwa hzo njia wanazotumia

We endelea kushangilia mtanange dunia hii ni ya wazi hakuna jipya juu ya hizi purukushani, visa, hujuma, propaganda etc ila hii nchi haiwez kuwa hvyo unavyotaka ww au unavyoaminishwa
Hii hali ya maisha inahitajika kuambiwa na mtu ndiyo ujue!?

Au mnadhani kuwa sisi watanzania ni Mazombie mpaka tusetiwe ndiyo tujue mambo!?
 
Mkuu mm sijakataa hilo, hii hali ya maisha isiwe ndio advantage ya ww kuhadaiwa mana kwa wetu wengi hawajui na wala hawafatilii serikali inafanya nn na kiuhalisia mambo mengine wala huyawez kuona directly kuhusu mipango na maendeleo yanayofanyika, hii ni process ndefu na kama unavyojua inchi yetu kupitia awamu tofauti huko nyuma japokuwa hayati magufuli alifanyamengi makubwa na kwa maslahi ya nchi lakini hili mtu wa chini hawez kuona matunda yake ile direct ila watu wengi tumeona hiyo haimaanishi kuwa watu hawakua na njaa/umaskini na kama unavyojua hakuna mtu anayependwa na wote hata magufuli na kuwa nia ya dhati na kupenda taifa lake bado alikuwa anachukiwa humu humu ndani na hata nje ya nchi na kwa awamu hii ni the same case tena hasa hao mabeberu wanatuwinda sana ni nchi pekee iliyothabiti na misingi yetu tulijipatia na ukumbuke hakuna nchi itawalika kiurahisi na bila kuwa na machafuko na unstable kisiasa, kiuchumi na hii ndio silaha inayotumika kutuangamiz hizi nchi ndogo, so mkuu kuwa makini unawasupport coz most of them wana external force na hiyo ni kwa maslahi yao plus mabeberu na hii framework ndio hiyo hyo inatumika uzuri teknologia sshv imefungua mambo mengi watu wameshajua ila kilichotumika libya ni same case tena wale waliokuwa na kila kitu ila wanaharakati hao hao ndio walilisha watu matango pori na kuchochea watu wachukie serikali yao na kuleta machafuko ambayo yamewafikisha hapo walipo mwisho wa siku wao hawana walichoambulia zaid ya kuwa maisha mabaya zaidi na hii ni sawa kwa hao wa ma gen z wa kenya ni uhuru wa uongo tu waliopewa wa kufanya chochote lakn hawana power yoyote ya kubadilisha zaida kutumika kama chambo tu kuvuruga nchi yao yenywe

Mheshimiwa mm sipo apa kutaka usifie serikali au uidefend bali ni kupa tu huo mtizamo uangalie kama mtu wa pembeni usijiattach na kuvutiwa na propaganda kwa wanasiasa kukutumia ss vijana kama chambo mana hizi wanategemea sisi kuwapa nguvu ndiomana wanakuja kwetu kutaka huruma mara kwa mara katika hzo harakati zao

We kaa tu na usome michezo mbona vitu viko clear vinaonekana tu

Yapo mengi yakuongea ila natuamini umeelewa point yangu niliotaka kuisema
 
Back
Top Bottom