Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,976
- 828,710
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.