Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
ibirisi wa ccm naona mpo Ghetto kwa Amos makala mnavuta Bangi kwa wingi kisha mnajidanganya kuwa Dikteta Mkoloni kaburu Mama iddy Amin Dada Mtesi anapendwa
 
Sio Afrika Duniani kabisa ni number moja tukimuogezea mingine mitano tunaenda kua super power Duniani
 
Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.

Kazi imeanza
Iringa kuna baridi la mama
 
Sasa ni fupi kwani utabiri wa shekhe Yahya unanda kutimia ccm wenyewe watamgeuka na kukwengua kwenye mbio za Urais
Kitu pekee kinachonipa nguvu hivi sasa ni kuona watanzania wameamka..
 
Mna lazimisha kupendwa nyie watu,Ukiona mpaka Wanawake wapenda kanga nyepesi wanakukataa huku mtaani ujue kuna shida kubwa.
 
Si wamejifanya kuja Instagram na sisi tupo Instagram sasa
 
Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Na kweli amekuwa shujaa wa kuteka ,kubaka nankuua, huyo kweli ni shujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…