Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Mchapa kazi ya utekaji?Rais Samia ni mchapa kazi sana
Wananchi wengine wa nchi zingine africa umewauliza?Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Hawawez kukuelewa ila ipo siku siku watakuelewa, mtihani anao ila mpka sasa amejua kucheza nao kwa kila namna anavyochezewa na kupangua punch zote kupigilia misumariKwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Ndio mnazidi kuharibu kama hamjuiKwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Muungano ufe, Tanganyika idai Uhuru wakeBaada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄
Huu ni uchochezi tuu. Unafanya makusudi ili upate kusoma unachokitaka ili kutusababishia matatizo ya ban na kutekwa. Leo hunipati.Kwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
The awakening of TanganyikaMuungano ufe, Tanganyika idai Uhuru wake
Utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo ndiyo kujua kucheza nao?Hawawez kukuelewa ila ipo siku siku watakuelewa, mtihani anao ila mpka sasa amejua kucheza nao kwa kila namna anavyochezewa na kupangua punch zote kupigilia misumari
Msiwe na Haraka, MO IBRAHIM FOUNDATION ya muislam mwenzake itakuja na majibu kama ni bora au laKwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Hujamuelewa mleta mada? Anataka aone magwajima ya jf ni kina nani.Ndio mnazidi kuharibu kama hamjui
Rudi Milembe ulikotorokaKwa Bara la Africa Kwa Sasa kiongozi Bora ni Mama Samia maana amekuwa shujaaa Kwa muda mfupi Kulinda na KUTETEA Taifa lake Kwa Kila namna.
Muungano ulipatikana kinajimu muungano ukivunjika, CCM bye byeMuungano ufe, Tanganyika idai Uhuru wake