Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Kuyasema unayo yasema ni kazi ndogo sana. Ngumu katika kuyatenda.Jaribu kuelewa suala si kujifungia ndani, kwanza tengeneza yanayohitajika ndani ili ajenda ya uwekezaji ifanikiwe kabla ya kutoka nje, pili wawekezaji hawatafutwi hivyo, unaweza ishia kupata matapeli tu, au basi vile umewafata wnakulazimisha ufanye wanavyotaka wao ili waitike mwaliko wako, hata km ni kwa gharama ya kuumiza watu wako!