PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
 
View attachment 3351024
Loh! amewapa kibali polisi kuua kila kitu
 
Wanaoteka, kuuwa na kupoteza watu kwa gharama ya uhuru wa kutoa maoni wao wafanyweje? Yaani mtu anatoa maoni kwa mdomo anauwawa kama mnyama

Wachomwe moto wa milele kwa sababu wanatangaza amani, kumbe ni wasaka tonge hawataki kuachia madaraka.
 
Kwa Mungu si Kwa mzungu
20250424_175330.jpg
 
Back
Top Bottom