Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

Imefanyiwa uwekezaji mkuu. Haijauzwa na jitahidi kuacha kuburuzwa na CHADEMA na kanisa kijana.
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Mtihani wa mwendazake sio wake. 😅
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
 
Hoja zako ni kulinda ufisadi. Hizo zote zishajibiwa ila wewe na genge lako la CHADEMA na makanisa mnaonufaika na ufisadi pale bandarini hamtaki kuelewa kabisa.
 
Hebu weka jibu la hiyo ya kwanza tu, hoja hujibiwa kwa hoja
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Mama ni mkweli, muwazi na kwa yansyokoka mdomoni na moyoni, ana dhamira njema.
Tatizo kazungukwa na mafisi yaliyovaa ngozi ya kondoo!
 
Wewe hujui maanavya neno busara. Kaka asingekuwa na hekma na busara kama magu mwili wa Nshalla aliyemtukana si ungekuwa chujio.
Akili yako inasapoti ukatili unaofanywa na viongozi.

Katiba ina kazi gani
 
Mama ana hekima sana huyu. Kama angekuwa magu lissu angeshafanywa chujio tena. Lkn huyu ana khofu ya ALLAH. Safi sana.
Ana hofu ya nani?
Acheni kumtania muumba
Taarabu ziendelee mdundiko mtaukuta mbele
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Ikiwa mtihani ni mgumu mno achana nao. Ndivyo wafanya watu pale mambo yanapokuwa magumu.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Wewe unachukia waswahili? Sasa kaa kwa kutulia watafululiza kukutawala kama ifuatavyo:
1. Mama mpaka 2030.
2. Hussein Mwinyi mpaka 2040.
3. January Makamba mpaka 2050.
Ridhiwani Kikwete mpaka 2060.
Umeelewa dogo?

Hizi takataka umezitoa ndotoni au?

hovyoooo
 
Ndiyo maana wasukuma wakampa Uchifu.

Unawajuwa wasukuma wewe, nioneshe chifu mwengine wa kike aliyewahi kupewa uchifu na wasukuma.

wasukuma waliopewa manoti ya bure ili wampe kwa lazima, na kuahidiwa ngombe zao kutokuguswa kbsaa.

Wewe Unawehuka siku hiz?
 
Wewe unachukia waswahili? Sasa kaa kwa kutulia watafululiza kukutawala kama ifuatavyo:
1. Mama mpaka 2030.
2. Hussein Mwinyi mpaka 2040.
3. January Makamba mpaka 2050.
Ridhiwani Kikwete mpaka 2060.
Umeelewa dogo?
Mkuu hawa wote wana mkataba na Allah kuishi siku zote hizo?
 
Unavyoongea kwa mamlaka Kama Kuna kitu unaweza fanya kumbe ni toothless dog barking behind the keyboard
Aisee wanaume wapo Kenya tu
 
Mama ana hekima sana huyu. Kama angekuwa magu lissu angeshafanywa chujio tena. Lkn huyu ana khofu ya ALLAH. Safi sana.
sawa, ila mshauri huo mkataba unakwenda kuvuruga kila jambo, cha msingi aachane nao mapema.
 
Wewe unachukia waswahili? Sasa kaa kwa kutulia watafululiza kukutawala kama ifuatavyo:
1. Mama mpaka 2030.
2. Hussein Mwinyi mpaka 2040.
3. January Makamba mpaka 2050.
Ridhiwani Kikwete mpaka 2060.
Umeelewa dogo?
Nape hadi 2070
Polepole hadi 2080
Msukuma hadi 2090
afu anamalizia na Kibajaji 2,100 - Unyakuo wa wana CCM wote kwenda mbinguni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom