Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

Wee Ni mjinga San unaamasisha watu wapigwe risasi umelaaniwa mbinguni na duniani paka wew
Kakuambia nani kuwa mtu kama mimi ninayetaka watovu wa adabu waadabishwe nimelaaniwa ni nani? Wewe unapaswa kunipongeza mkuu kwa mimi ninapenda sana nidhamu.
 
Unajua Watanzania bado hatujawahi kumbana na "ngorane" ndiyo maana "bwenke bhumelala". Sikio la mbuzi huwa halisikii hadi liwapo chunguni.
Unafikiri dunia ya leo unaweza kufanya siri? Watu wana darubini zinazoona na kusikia mambo yaliyo kilometa nne chini ya ardhi. Utajificha wapi? Kashfa ya DPW iko uchi. Wao mwenyewe miongoni mwao wenyewe wanavujisha Siri. Uliwahi ona umoja wa majambazi ukadumu? Benki ikiporwa na majambazi, moja ya mbinu inazotumia Serikali kuwanasa majambazi ni kutangaza kiasi kikubwa cha pesa kuwa kimeibiwa (Si inajua majambazi hudhurumiana!). Hapo ndipo mtafaruku huibuka miongoni mwa majambazi kila mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa amewadhurumu wengine. Hiki ndicho kinatokea CCM. Unafikiri tungepata kuuona ule IGA kama usingivujishwa na "waliokosa mgao sawia?". Na wanaendelea kutuvujishia taarifa nyeti juu ya mlungura mkubwa uliotembezwa na waarabu wa DPW. Kashfa hii naamini itakuwa tu na athari mbaya kwa Nchi.
Mswahili Jakaya anamdanganya huyu mama kwa kumtia moyo kwamba, ... Na hili litapita tu! Siyo kirahisi namna hiyo.
Uhaye winda wa

Hekima dunia ya leo haipimwi kwa maneno matupu. Tunataka matendo kwanza ndiyo yaakisi unachokisema kwa maana tukivutwa na maneno mazuri tutapotea kwani watu wana digrii hadi za propaganda, kosa umpatie sikio lako tu! Na huyu mama kajipambanua hivyo. Kwa kashfa hii ya DPW, ...mmh!
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Huo mtihani ameushinda lini na kwa asilimia ngapi wakati bado vuguvugu linapamba moto ijapokuwa ameanza kuagiza wasaidizi wake watoe vitisho kwa wenye misimamo isiyoyumba?
Limebaki jaribio moja tu atakimbia nchi mwenyewe
 
..
 
Attachments

  • Tunaingia_Mikataba_ya_kishenzi_ya_kijinga_tu_-_MAGUFULI(144p).mp4
    1.3 MB
Embu usisingizie kanisa kwa ujinga wa mkataba
Memorandum of understanding kati ya makanisa na serikali unaijua? Hakuna mkataba wa kijinga na kifisadi na kijambazi kama ule. Makanisa yanapiga pesa kwa kisingizio kiovu cha kusahidia serikali kuhudumia watanzania kiafya wakati wanawatoza pesa lukuki.
Nakuambia hivi serikali ikinyoosha mambo yake ikajitegemea na kuwa na sera kuwa kila kundi la kijamii lijitegemee makanisa yatakolapsi. Bisha!
 
Kweli IQ yako ndogo sasa afya na bandari wapi na wapi , hata nyie mkiwa na hosp zenye hadhi ya rufaa mtaingizwa kwenye program hiyo.
 
Huo nao si mkataba kama wa bandari au?
Pesa za umma zinazokwenda hiko kanisa lini zilikaguliwa na CAG na ripoti yake ikaanikwa tukaisikia? Tumia IQ yako kujibu maswali haya. Ni kwa nini pesa ya MOU kati ya makanisa na Serikali haikaguliwi na mkataba huu utaisha lini?
 
Wewe unachukia waswahili? Sasa kaa kwa kutulia watafululiza kukutawala kama ifuatavyo:
1. Mama mpaka 2030.
2. Hussein Mwinyi mpaka 2040.
3. January Makamba mpaka 2050.
Ridhiwani Kikwete mpaka 2060.
Umeelewa dogo?
Hata nyerere hakua na uwezo huo ndio mje nyie akina kajamba nani kutoka mchambawima mjaribu ,thubutu!!
 
Huo nao si mkataba kama wa bandari au?
Pesa za umma zinazokwenda hiko kanisa lini zilikaguliwa na CAG na ripoti yake ikaanikwa tukaisikia? Tumia IQ yako kujibu maswali haya. Ni kwa nini pesa ya MOU kati ya makanisa na Serikali haikaguliwi na mkataba huu utaisha lini?
Unachanganya mambo mara kanisa na bandari mara afya, nimekwambia mngekuwa na referal hosp zingekuwa concluded ila mna zahanati tu
 
Umejiongezea maswali mwenyewe katka huo mtihani Kuna vitu ukilkua unavimudu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom