Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Hapana.

Hili la Bandari hauwezi kuwa "mtihani toka kwa Mungu" hata kidogo.

Huu mtihani ni toka moja kwa moja kwa shetani.

Mungu anaipenda sana Tanzania, hawezi kuleta jambo la hovyo namna hii kwa nchi anayoipenda.
 
Lissu uwa anakupelekea moto sana maana sio kwa kumsema vibaya
Inabidi RUGEMELEZA NSHALLA afungwe kifungo cha maisha maana tangu alipomtukana mama basi CHADEMA na watu wa makanisa mmekuwa watukanaji wakubwa sana. Tafadhali kanawe hiyo mikono uliyotumia kuandika post yako.
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
 
Attachments

  • 25B02A10-C131-4C79-9803-5C59552E5A16.jpeg
    25B02A10-C131-4C79-9803-5C59552E5A16.jpeg
    115 KB · Views: 6
Hivi mbona mkibanwa kuwa mtoe maelezo vizuri kuhusu bandari, mnakwepa hoja na kuingiza mambo ya vyama?
Leteni majibu ya hoja zinazotolewa na si kutukana na kutoa majibu marairaisi.

Kama huu mkataba ukipita kwa namna ulivyo, basi hakuna chama wala mwananchi atakaye salimika. Cunsequences huu mkataba zitawapata wote
Mkataba hauna shida yoyote, na umeshatolewa maelezo zaidi ya mara elfu.
 
Mama ana hekima sana huyu. Kama angekuwa magu lissu angeshafanywa chujio tena. Lkn huyu ana khofu ya ALLAH. Safi sana.
Kuonyesha khofu ya Allah ni pamoja na kutenda haki hata kama itaathiri chama chake na nafasi yake ya urais 2025.
 
Hekima ya kuzungumza aliyonayo inapingana na busara ya utendaji wake
 
Uwongo wangu nini,ya Mwanza ilitokea Pasiansi nikishuhudia,mama hasikilizi kero za Wananchi kwenye ziara zake!

Atakutana na wananchi wapi wakati kila wakati yuko hewani ndani ya ndege? Kukutana na wananchi ni lazima awe barararani na yeye ni mtu wa starehe tu hataki vumbi!!!
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Mhe. Rais ungeufuta tuu huu mkataba wa bandari Ili uwe na amani moyoni. Mtihani huu Mungu ameuruhusu kwako kwa kusudi maalum na kuna unabii unatakiwa kutimia. So Bora uwe safi rohoni uepuke anguko pamoja na adhabu ya Mungu.
 
Hivi mbona mkibanwa kuwa mtoe maelezo vizuri kuhusu bandari, mnakwepa hoja na kuingiza mambo ya vyama?
Leteni majibu ya hoja zinazotolewa na si kutukana na kutoa majibu marairaisi.

Kama huu mkataba ukipita kwa namna ulivyo, basi hakuna chama wala mwananchi atakaye salimika. Cunsequences huu mkataba zitawapata wote
Majibu yote anayo Padri Slaa. Huku mnajisumbua bure
 
Ama kweli, mliwafukuza kwa kuwahita wakoloni, sasa mnawakaribisha kwa kuwahita wawekezaji.
Kuwahita sijui ndo nn.
Hata wazungu aliowakataa Mtwa Mkwawa sasa hv wanaitwa wawekezaji
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Taarabu tu hizo kama anatusikiliza basi asikilize aachane na kataba la kitapeli linaloweka rehani taifa letu.
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Alitumia hekima gani kusema yule Mama atolewe nje na asisikilozwe
 
Kwahiyo mtihani ni kuiuza Tanganyika? Akili zingine hizi, Mola atusaidie tu, hatuna tegemeo lingine
 
Kuonyesha khofu ya Allah ni pamoja na kutenda haki hata kama itaathiri chama chake na nafasi yake ya urais 2025.
Na ndo maana ameleta maridhiano kwa kuwapa CHADEMA haki zao kama kumfutia kesi Mbowe mbaguzi na kumpa haki zake zote Lissu mropokaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom