Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

usije ukaruhusu wale wanaovaa rangi ya kaki wakakuharibia uongoz wako.jifunze kwa mwenzio aliyepita.
 
Mwenyezi Mungu akuongoze Katika majukumu Yako mama na kiongozi wetu.
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Ma shaa Allah, nani kama mama?
 
Uwongo wangu nini,ya Mwanza ilitokea Pasiansi nikishuhudia,mama hasikilizi kero za Wananchi kwenye ziara zake!
Ndiyo maana wasukuma wakampa Uchifu.

Unawajuwa wasukuma wewe, nioneshe chifu mwengine wa kike aliyewahi kupewa uchifu na wasukuma.
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Kwanza Mungu hayupo, anasingiziwa tu.

Pili, ukishaanza kusikia maneno ya hivi, ujue mtu kashakubali cheo kimemzidi kimo, hajui cha kufanya.

Tatu, aache unafiki. Angekuwa anataka kusikiliza wengine, asingepeleka mkataba wa IGA na Dubai bungeni usainiwe haraka haraka.
 
Uongozi ni jalala
kama vipi atoke jalalani

kataka mwenyewe uongozi....

Mungu kampa mtihani ??? Kwani Urais ni kuongoza vikundi vya vikoba vya mtaani ? Hivi alitegemea nini ????

Kiongozi wa Japan au Ufaransa anaweza kusema Mungu kanipa mtihani ????? hahahahahaaa

She is a lightweight, yani anayosema yanaonyesha kabisa huyu mwenzetu ni mzito
 
1689368322481.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom