Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

Inakuaje kusikiliza changamoto za wafanyabiashara na maoni ya wananchi kuhusu bandari.
 
😂😂😂😂😂
Mtihani kama mtihani!!
 
Ukisikia mwanasiasa kwenye nchi secular anamtajataja Mungu sana, ujue anatafuta chaka la kujifichia huyo.

Fanya kazi kwa katiba na sheria.

Acha kujificha nyuma ya chaka la Mungu.
 
Mama ana hekima sana huyu. Kama angekuwa magu lissu angeshafanywa chujio tena. Lkn huyu ana khofu ya ALLAH. Safi sana.
Hofu ya Allah nchi inazabuliwa hivi na yeye ndio mwenye dhamana ya kukomesha madhira
Acheni unafiki
 
Hofu ya Allah nchi inazabuliwa hivi na yeye ndio mwenye dhamana ya kukomesha madhira
Acheni unafiki
Hapa hakuna unafiki mkuu. Kilichopo ni kuwa kuna mliokuwa mnadhani kuwa kwa kuwa mama ni mwanamke mtambabaisha ili asiweze kuongoza nchi ambapi tayari mmeshakwama kwani yeye ni mtu very strong.
1. Mlianza kufanya figisu asiapishwe jeshi likawakatalia.
2. Mkamtumia jobo ndugai kuleta usumbufu akachinjiwa baharini kuu na damu yake haikuonekana.
3. Mama wa watu kaja na mpango wa suluhisho la mazonge ya bandarini nyie mbaibuka na mtandao wenu wa kanisa kupitia wanasiasa na wanasheria wenu.
Pia mama amekuwa madhubuti na mmechemsha. Sasa subirini tunaotaka Maendeleo tum support halafu nyie tutakurania mbele huko.
 
Huyu kadhihirisha kabisa tuna katiba mbovu na jingine MWANAMKE HAFAI KUWA KIONGOZI ko kote kule zaidi ya jikoni tu!

Marekani wenyewe tu walijiongeza wakaona bora Trump kuliko Hilary Clinton

[emoji706][emoji706][emoji706]
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445 - Hijiria.

“Mungu kanipa mtihani si haba, pale aliponiweka, na ukisikiliza ya watu Samia Suluhu yule mmm…mtihani si haba nilio nao, nijiusie nafsi yangu kwanza, na niwausie na wengine, wote tushiriki na wote tuige mifano mizuri tunayooneshwa na viongozi wa dini hasa kutumia njia bora na hekima katika kuendesha maisha yetu.

“Tulioshika madaraka tuwe thabiti, tuwe na hekima katika kutoa maamuzi, sio unapewa dhamana husikilizi wengine, mtu anakuja na shida zake fulani msikilize huyo, kuweni wastarabu, sio kuweka mabega juu kama mizani ukipewa madaraka wanaume koti zinaninginia, wanawake shungi zipo sivyo,” amesema.
Atajua mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom