Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

Yeye mbona ndiyo tabia yake,alikuja Mwanza kuna Mama alipiga yowe,akitaka kuongea na yeye,Samia akasema atasikilizwa na viongozi wa Wilaya.Pia wakati wa Meimosi kuna mtu alitaka kuongea naye akaagiza atolewe nje.Sasa huo wosia ni kinafiki!

naikumbuka hii siku,na lafudhi yake ya kizenji”wapo watu huko washughulike naye”
 
Umejiongezea maswali mwenyewe katka huo mtihani Kuna vitu ukilkua unavimudu
Maswali gani sasa na wewe wakati mama anqupiga mwingi!
Mtihani anaouona ni kuwa hakuwahi kutambua kuwa kuna watu hasa CHADEMA wana shukran ya punda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom