YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
- Thread starter
- #61
Kiswahili anakijua vizuri Ingia YouTubeO level amesoma Kifungilo akatoka na Div 1 ya point 10, A level amesoma PCM Jagwani, katoka na One ya point 3 akatikia majuu!.
Nikiwa US, yeye akiwa Vice President wa World Bank Instute, baada ya kusikia ni Mtanzania aliyesoma Kifungilo na Jagwani, si nikafurahi, nikaomba impromptu interview, si nikaongea Kiswahili!, la haula!. Eti ... naomba nisimalizie!.
P
Huyu mama mimi nimeanza kuongea toka kipindi cha Magufuli apewe nafasi atumikie nchi nikapuuzwa na kipindi hiki cha mama Samia nimeomba amteue amsaidie sio kesi asipompa
Huyo mama umri umeenda sana yuko beyond money kama Waziri wa mambo ya nchi za nje mama Mulamula
Umri waliofikia hawahitaji pesa tena
They are beyond money or allowonce au kiswahili