Rais Samia mteue Mwanamama Dr. Frannie Léautier kuwa mshauri wako au mpe nafasi yoyote kubwa

Huyu mama ni jembe la watanzania lisilotumika. Sidhani kama CCM ya wana iyena iyena itataka watu kama hawa. Bahati mbaya sana. Profile yake tamm sana. Hii ni mbegu bora sana kama kina Salim Ahmed Salim, Dr Mahiga, Amb Nyakhi, huyu jamaa MD wa TPDC...Hongera sana mama.
Mimi nimependekeza yaliyobaki hayanihusu
 
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016

Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia wata2nzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.
Umeamua kujitetea mwenyewe?
 
Huyu most likely ni mtoto wa NWO kama ulivyo wewe, kwa hiyo tutakuwa tunajiingiza kwenye mdomo wa Simba.Kwanza institutions ambazo amefanyia kazi tells it all.

Halafuu, hilo jina mbona linatia wasi wasi, is he a native African?
 
Huyu most likely ni mtoto wa NWO, kwa hiyo tutakuwa tunajiingiza kwenye mdomo wa Simba.Halafu hilo jina mbona linatia wasi wasi, is he a native African?
Ni mchaga mtanzania mia kwa mia ila baba yake asili yake uswisi
Mbona wapo wahindi na waarabu watanzania bungeni na serikalini? Hilo jina tu walimpa wazazi wake lakini ni mtanzania asilimia 100
 
Huyu most likely ni mtoto wa NWO kama ulivyo wewe, kwa hiyo tutakuwa tunajiingiza kwenye mdomo wa Simba.Kwanza institutions ambazo amefanyia kazi tells it all.

Halafuu, hilo jina mbona linatia wasi wasi, is he a native African?
Ushirikina, fear for unknown that has no proof
 
Kujihami ni muhimu sana.Huwezi kujiingiza mahali kichwa kichwa.Unajua allegiance yake iko wapi, Europe au Africa.Tuko almost 60m people in Tanzania, so pool ni kubwa hatuwezi kukosa mtu, sio lazima yeye.
 
Ninyi si mna signs zenu, labda through signs alipokuwa anahojiwa umeshajua ni ndugu yako, who knows.
Mimi sio mchaga Wachaga niliowahi kutetea humu jamiiforums ni Dr Kimei na huyu mama tu

Wengi humu jamiiforums huniita ni anti chaga mimi sio anti chaga nikigundua kuna mchaga yuko fit kama huyu mama napendekeza humu kama nilivyopendekeza Dr Kimei apewe ubunge
 
Huyu mama ni jembe la watanzania lisilotumika. Sidhani kama CCM ya wana iyena iyena itataka watu kama hawa. Bahati mbaya sana. Profile yake tamm sana. Hii ni mbegu bora sana kama kina Salim Ahmed Salim, Dr Mahiga, Amb Nyakhi, huyu jamaa MD wa TPDC...Hongera sana mama.
Huyu angefaa sana kuwa GAVANA WA BENKI KUU. Kwa mara ya kwanza tupate Mama Gavana.
 
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016

Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia wata2nzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.
Sasa wewe unamwombea kazi kwani kusoma sana ndio kitu tunahitaji pekee? Msije kutuletea majasusi wa cia.
 
Kwa CV hiyo huyu Mama akabidhiwe ATCL kama MD, akaifanyie restructuring, ikishindikana tuiuze mazima!
Katafute mtu mwenye sifa kama hizo lakini kwenye eneo la aviation hasa Air Transport management ndio umpe hiyo kazi. Tuache kuishi kwa experiments.
 
M
Sasa wewe unamwombea kazi kwani kusoma sana ndio kitu tunahitaji pekee? Msije kutuletea majasusi wa cia.
Siongelei elimu world Bank au African development bank unahitaji insider ukitaka mkopo au msamaha wa madeni au extension huwezi kama huna insider atayekuwa anajua inside out za what is what and how to navigate Experience matter sio degree tu
 
Mikopo Mingi mikubwa ya wakopeshaji Wakubwa duniani wawe world Bank au African development bank ni ya infrastructure huyu mama eneo hilo ni eneo lake la utaalamu la kujidai yuko fit sana eneo hilo
 
Back
Top Bottom