Rais Samia mteue Mwanamama Dr. Frannie Léautier kuwa mshauri wako au mpe nafasi yoyote kubwa

Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016

Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia wata2nzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.
Alitakiwa awe Raisi kabisa,bahati mbaya losers,wapiga kelele na mipasho ndio wanashikilia nchi.
 
Sasa kama mama huyo ni mchamungu itakuwaje? Mimi naona huko siko.
 
Huyu Rais akitaka ampate amuombe awe mshauri Rais na asifungwe kufanya kazi zake binafsi kama Dr.Kilama.Hapo atampata kirahisi.
 
Atulie tu huko huko. Akija hapa atakuja kutana na design za kina Lipumba aishie kuwa msomi jina tu mwenye vitendo mithili ya mtu ambae hajawahi hata kanyaga darasa.
Hii nchi ina kipaji kikubwa cha kuweza kumfanya mtu apoteze dira na muelekeo.
Kweli aisee, yaani akae hukohuko manake mifumo ya Tz sio rafiki kwa mtu anayetaka kutumia utaalamu na uzoefu wake kusaidia nchi manake siasa zinaingizwa karibu kwenye kila kitu!! Kazi kwelikweli.
 
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016

Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia wata2nzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.
Mnatafuta kuingiza wenye akili kwenye utawala wa wasio na akili.

Kubalini taishe.
 
Mwl. Mashiku alihamishiwa kijijini kwetu akitokea Dar es salaam akiwa mtanashati, smart, anavaa viatu, nk. Wanakijiji tukasema tumpe miezi 3 atakuwa kama sisi.

Hata miezi 3 haikufika...akawa anatuwahi kwa mama Muuza gongo,...na mwisho akatuzidi akahamia kabisa!

Huyo mama bora akae huko awe anatutumia ushauri kwenye group letu kabla hajaharibiwa na akina Kigwangala!
Hahaa! Bora huyo Mwalimu alikuja kijijini. Namkumbuka Daktari Masau na juhudi za kuanzisha taasisi ya magonjwa ya Moyo hapa Dar. Katoka zake Texas kaingia Dar. Nchi ikiwa haina taasisi yoyote ya kutusaidia.

Alipigwa vita na Muhimbili (kwa wasomi) hadi Wizarani (wasimamizi). Wizara ikasaidia kumuondoa nyumba za NHC kwa nguvu hadi anafariki hakuwa na sehemu ya kufanyia kazi.
 
Usiwe mtumwa wa historia Sasa hivi Raisi ni chifu Hangaya Samia Suluhu Hassan
 
Hivi tuna wasomi wangapi nchi hii na bado hajafanya chochote kwenye hizo nafasi za kupewa. Mfano:kabudi ,mwale, muhongo,omar nundu.

Tatizo letu kubwa ni siasa kua juuu ya taaluma. Waliletwa wangapi kutoka nje,kipi wamefanya?.

Binafsi mimi nikiona mwana taaluma yeyote amekubali hizi teuzi,namdharau tuuu.maana najua fika taaluma ya mteuaji ndio itayo amua mteuliwa afanye nini na asifanye nini.
Tatizo la nchi yetu ni nini hasa? kina kabudi wanaoelekeshwa na kina lusinde na msukuma.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.
Jifunze kutoka waliopita walifanyiwa nini walipotumia uadilifu wao kuipeleka nchi mbele
  1. Dr. Mgimwa
  2. Binti Malechela
  3. Daudi Balali
  4. Etc
 
Hata waziri wa mambo ya Nje wa UK Bibi The Rt Hon Elizabeth Truss MP atufaa pia. Expatriates na lobbyists muhimu. Hivi, Tony Blair bado anaendelea na kibarua chake hapa nchini? Kama mazuri vile!
 
Wataalamu kama hawa wakija Tz huwa wanaharibiwa na siasa za ccm.

Kuna yule dokta malisela sijui aliishia wapi baada ya kupingana na magufuli.

Labda katiba ibadilishwe otherwise hata ushauri wake hautasikika.
Kama yule Dr Matarajio wa TPDC..
Kwanza aliteuliwa na JK kuwa MD, Pombe alipoingia madarakani akamtumbua kwa sabb ya madudu yaliyofanywa na watangulizi wake. Baada ya muda ikagundulika walikurupuka, wakamrejesha!
 
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016
O level amesoma Kifungilo akatoka na Div 1 ya point 10, A level amesoma PCM Jagwani, katoka na One ya point 3 akatikia majuu!.

Nikiwa US, yeye akiwa Vice President wa World Bank Instute, baada ya kusikia ni Mtanzania aliyesoma Kifungilo na Jagwani, si nikafurahi, nikaomba impromptu interview, si nikaongea Kiswahili!, la haula!. Eti ... naomba nisimalizie!.
P
 
😆😆😆Acha hizo, usituonjeshe asali na ncha kisu. Funua buyu tujilambie😋
 
Back
Top Bottom