Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,016
- 16,149
Nchi itaenda tu ..kwa anavyojishtukia kila speech yake.... Atakuwa ni TV tu kuna remoti kashika MTU ... Huyo ndio abaki yeye atembee awezavyo.Why Mkuu?
Nchi itaenda tu ..kwa anavyojishtukia kila speech yake.... Atakuwa ni TV tu kuna remoti kashika MTU ... Huyo ndio abaki yeye atembee awezavyo.Why Mkuu?
Sasa ya mboye yanaiigiaje hapa??Sina uhakika kamaSamia ana mkono katika kesi ya kumbambikia Mbowe, lakini mambo katika mengine mengi, I support Madam president.
Katika yote mazuri yenye dhamira njema, Mungu akubariki Samia, na akujalia hekima zaidi. Mapato yanapoongezeka kwa kiwango cha kuridhisha, punguza au ondoa baadhi ya kodi na tozo. Hiyo itapunguza ukali wa maisha, itaongeza uwekezaji na hatimaye kuongeza ajira.
Kesi ya kubambikiza kwa Mbowe, ndiyo doa pekee kubwa.
Yeye ni kiongozi... Kuzunguka azunguke tu tena Sana!!
Muhimu ni kuwa apunguze mizunguko ya kifahari!!
Msafara kwenye mizunguko yake haileti taswira njema!
NB: Kama tupo vitani tujulishwe!
Mkuu ni kweli kbsa hata hii biashara ya mahindi kati ya kenya na tanzania mnufaika mkubwa ni kenya na si tanzania mahindi yetu yanaenda mpaka somalia na sehemu nying tu za kenya, Lakini bado kwenye kuuza hayo mahindi kenya ndo anapanga bei ya kununua na anaweza sema leo bei imepanda au kushuka ilimradi tu yeye apate faida kwakoKama mahindi yananunuliwa Kenya,mbona hayapandi bei toka tumevuna mpaka Sasahivi gunia la mahindi alizidi elfu 35000/ na ilikuwa hivo hata mwaka Jana
Usijitie upofu, kwani hamuoni kazi anayo fanya au wewe ni muathirika wa utawala wa kiimla ulio pita.muacheni azunguke si ndio anachokiweza jombaa kwani unafikiri kuna kitu mule?
Unajifanya kujua mipango ya ofisi ,haya tuambie Kama kazi gani ambayo ulitaka afanye Kama sio kutoka na some kwa macho yake kero zinazo wakera wananchi.Bi mkubwa bwana.. inaonekana hana kitu cha kufanya ofisini, mipango hakuna
Sipingi ziara lakini napinga utetezi wako hapa. Mwaka jana kwenye kampeni alitembea karibu nchi nzima. Nina imani kero aliziona na uzipata. Ashughulike na zile za mwaka jana alizoziona kwanza.Kama sio kutoka na some kwa macho yake kero zinazo wakera wananchi
Na Kuweka Shada la Maua Nyerere Day kwa Hayati Magufuli badala ya Mhusika wa Siku na Tukio Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imenikera mno tu mpaka leo na nimeshaanza Kumpunguzia 'Marks' zake kadhaa kwani ameanza Kuonyesha Mapungufu na Kunikatisha Tamaa ya Kumkubali na Kumuamini mapema sana tu.Hangaya hicho ndio anaweza pekee
Kujitegemea ni vizur tusiombe Bora tukope pesa, mbona ma Raisi wa nchi nyingine hawa zururi hovyo mfano Botswana, Namibia, Ghana, Vietnam, Thailand, Iran, kwanin viongoz wetu wana amini maendeleo yana kuja Kwa kuomba pesa wazunguWazalendo fake hao wasikusumbue, wakiambiwa watoe tozo hawataki, mother akienda nje kutafuta vijisenti hawataki! Scars alizoacha magu kwenye bongo za waTZ wengi ni tatizo kubwa, natamani watu wote tumuunge mkono Mama kipindi hiki anajaribu kuwabadili hawa watu waliojengewa ujinga kwa miaka 5, Eti MABEBERU, si ndiyo hao alikuwa anaenda kuwakopa mikopo ya mariba makubwa makubwa?
Hakuna ilani isipokuwa matamkoCCM watakuwa na kazi kubwa sana kwenye kampeni aisee, Magufuri alisema hasafiri sababu nchi yetu ni tajiri wenye shida ndio wanakuja, huyu tena naona kama anageuza hiyo kauli.
sasa sielewi hawa watu huwa wanapewa Ilani au Ilani ndio inajichanganya namna hii
Kwanini tusiwe na viwanda vya kutengeneza unga?Mkuu ni kweli kbsa hata hii biashara ya mahindi kati ya kenya na tanzania mnufaika mkubwa ni kenya na si tanzania mahindi yetu yanaenda mpaka somalia na sehemu nying tu za kenya, Lakini bado kwenye kuuza hayo mahindi kenya ndo anapanga bei ya kununua na anaweza sema leo bei imepanda au kushuka ilimradi tu yeye apate faida kwako
Kama utakuwa unafuatilia biashara nyingi za wakulima wa tanzania lazima utakuta kwamba kuna tatizo la masoko hata huo unga unahitaji mitaji na package nzuri then masoko ya uhakika ndani na nje ya nchi ndo tunaweza fanikisha mkuu, Ukivuka tu boda ya sirari unakuta mahindi yetu yako kwenye unga yaani wamesaga na kupack na kupiga chapa yao ya kenya wakati mahindi ni ya tanzania kabisaKwanini tusiwe na viwanda vya kutengeneza unga?
Ndege moja ingetengeneza viwanda vingapi vya unga na ajira? tatizo ni vipaumbele vya kijinga ndiyo vinatusumbua, kwani sisi hatuna mabalozi nje wa kutafuta masoko huko Sudan sijui wapi?Kama utakuwa unafuatilia biashara nyingi za wakulima wa tanzania lazima utakuta kwamba kuna tatizo la masoko hata huo unga unahitaji mitaji na package nzuri then masoko ya uhakika ndani na nje ya nchi ndo tunaweza fanikisha mkuu, Ukivuka tu boda ya sirari unakuta mahindi yetu yako kwenye unga yaani wamesaga na kupack na kupiga chapa yao ya kenya wakati mahindi ni ya tanzania kabisa
Unafanya kazi vya kutosha mama Samia, huzunguki bure, unatutafutia kila mahali. unafanya kazi nzuri, asiyeona hana macho hata kidogo."Safari nilizokuwa nafanya Nchi Jirani zilikuwa na lengo la kuondosha vikwazo, tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya ilivyokuwa, kwahiyo tukizunguka msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu, nilishacheza vya kutosha kwenye nchi nyingi duniani, sasa hivi kazi ni moja tu kuzunguka kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania" -Rais Samia akiwa Arusha leo