Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Ebwanaa una "chai " wewe 🤣🤣Anatumia bil 1 kuzindua mradi wa mil 90[emoji28][emoji28]
Ebwanaa una "chai " wewe 🤣🤣Anatumia bil 1 kuzindua mradi wa mil 90[emoji28][emoji28]
Matumizi mabaya ya uhuru wa maoni
Hakika mkuu 😍watanzania ni lawama tu,,mlisema amekaa nje ya nchi na ofisini..etu hatembelei wananchi..leo kafanya ziara ya sikutatu mohi na arusha .mmebaki kulalamika hivi nyie mkoje.Mbona magufuri alikuwa nakyembelea wananchi na convoy kubwa
Usichokijua ni kuwa mradi wa maji alioutembelea eneo la Chekereni utamaliza tatizo la maji ndani ya jiji la Arusha kwa asilimia kubwa sana, thamani ya mradi ni mabilioni ya fedha, bado ametembelea hospital ya serikali iliyopo eneo la Njiro iliyojengwa kwa mamilioni ya fedha, miradi mikubwa kama hii ni vizuri ikipata attention ya raisi mwenyewe maana inaipa uzito wa aina yake.Kuzunguka bila mpango mkakati ni kupoteza muda, mwisho tutaishia kudanganywa mafanikio ya mizunguko just kujustify matumuzi ya kodi ya wananchi.
Mfano tumeona ziara ya Arusha ni kwenda kumpokea Bananga na pengine amepewa fedha kuhamia ccm.. Haya ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Jiulize hii ziara ilikua na ukuhimu gani? Kuzindua daraja la mil 90..
Sio mchumi lakini ziara hii itakua imetumia zaidi ya Mil 200 hadi mil.500. Huu ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi waliolemewa na tozo za kuviziana.
Serikali haitaki kusema ukweli imekwamba wapi.
Sababu za kukwama ni kama zifuatazo
1. Imeongeza kuajiri bila kujali hali ya uchumi , sababu kubwa ukiwa ni kutaka kuonyesha awanu ya sita inajali wananchi.
2. Imerudisha wote waluoondolewa kwa vyeti feki bila kujali kama hawana vyeti au laa.
3. Imeongeza safari za nje ya nchi kwa mawaziri na Rais bila kujali hali ya uchumi.
4. Imerudisha utaratibu wa vikao kufanyika kwenye mahoteli na nje ya nchi.
5. Ukusanyaji wa kodi umeshuka kutokana na wafanyabiashara wengi kukwepa kodi
6. Serukali kufadhili shughli ambazo ni haramu kama kununua wapunzania, kupambana na vyama vya upinzani, etc
Pamoja na haya yote bado serikali inaingilia faragha za account za wananchi kwa kukata fedha kwenye account za bank na miamala ya simu.
Ushauri
Serikali ianze kubana matumizi kwenye zote na Rais awe mfano..hata kuacha kulipwa mshahara.
Mawaziri wasipokee allawance na mishahara yao ipunguzwe.
Wabunge wasichukue posho na mishahara yao ipunguzwe.
Safari zote za nje zisimamishwe.. allawance ya siku mtu akiwa nje ya nchi nasikia ni kati ya mil 10 hadi kil.20 kwa siku.
View attachment 1977823
Sana kiongozi, mtaalamu AY aliwazungumza vizuri kwenye kile kibao (nimesahau jina)!Hakika 🤣🤣
HAO NDIO BINADAMU(in AY's voice)
Pingapinga fc kaziniKuzunguka bila mpango mkakati ni kupoteza muda, mwisho tutaishia kudanganywa mafanikio ya mizunguko just kujustify matumuzi ya kodi ya wananchi.
Mfano tumeona ziara ya Arusha ni kwenda kumpokea Bananga na pengine amepewa fedha kuhamia ccm.. Haya ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Jiulize hii ziara ilikua na ukuhimu gani? Kuzindua daraja la mil 90..
Sio mchumi lakini ziara hii itakua imetumia zaidi ya Mil 200 hadi mil.500. Huu ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi waliolemewa na tozo za kuviziana.
Serikali haitaki kusema ukweli imekwamba wapi.
Sababu za kukwama ni kama zifuatazo
1. Imeongeza kuajiri bila kujali hali ya uchumi , sababu kubwa ukiwa ni kutaka kuonyesha awanu ya sita inajali wananchi.
2. Imerudisha wote waluoondolewa kwa vyeti feki bila kujali kama hawana vyeti au laa.
3. Imeongeza safari za nje ya nchi kwa mawaziri na Rais bila kujali hali ya uchumi.
4. Imerudisha utaratibu wa vikao kufanyika kwenye mahoteli na nje ya nchi.
5. Ukusanyaji wa kodi umeshuka kutokana na wafanyabiashara wengi kukwepa kodi
6. Serukali kufadhili shughli ambazo ni haramu kama kununua wapunzania, kupambana na vyama vya upinzani, etc
Pamoja na haya yote bado serikali inaingilia faragha za account za wananchi kwa kukata fedha kwenye account za bank na miamala ya simu.
Ushauri
Serikali ianze kubana matumizi kwenye zote na Rais awe mfano..hata kuacha kulipwa mshahara.
Mawaziri wasipokee allawance na mishahara yao ipunguzwe.
Wabunge wasichukue posho na mishahara yao ipunguzwe.
Safari zote za nje zisimamishwe.. allawance ya siku mtu akiwa nje ya nchi nasikia ni kati ya mil 10 hadi kil.20 kwa siku.
View attachment 1977823
Ebwanaa una "chai " wewe [emoji1787][emoji1787]
RespectfullyUna uhuru wa kuleta hoja zako
Pingapinga FC🤣Pingapinga fc kazini
Akienda nje anazurula nje hajali wananchi wake, akipokea wageni ikulu mvivu anakaa tu ofisini, akitembelea wananchi na kuzindua miradi ya maendeleo anazunguka tu
Nakushauri tu ndugu! Chuki zako dhidi ya Mama Samia zitakuua
Tafuta kazi ya kufanya Au ukishindwa ndimu ziko nyingi tengeneza juice unywe
Usichokijua ni kuwa mradi wa maji alioutembelea eneo la Chekereni utamaliza tatizo la maji ndani ya jiji la Arusha kwa asilimia kubwa sana, thamani ya mradi ni mabilioni ya fedha, bado ametembelea hospital ya serikali iliyopo eneo la Njiro iliyojengwa kwa mamilioni ya fedha, miradi mikubwa kama hii ni vizuri ikipata attention ya raisi mwenyewe maana inaipa uzito wa aina yake.
Hilo la kina Bananga ni chumvi katika mboga iliyojaa nyama nyingi, mafuta ya kula, nyanya, vitunguu aina zote pamoja na vikorombwezo vya kila aina kwa mapishi wa nyama (Siasa).
Respectfully
Pingapinga FC[emoji1787]
Wana tabu sana hawa bwasheePingapinga FC🤣
Sana kiongozi, mtaalamu AY aliwazungumza vizuri kwenye kile kibao (nimesahau jina)!
Umenena kiongozi, yaani watz tunachanganya mno na mambo km haya ndo hufanya akitokea kiongozi mwenye kibri basi yanampa mwanya wa kujiamulia na kujiachia tu kwa jinsi yoyote anayotaka maana anajua watu wenyewe nao ni chenga tuMbali na kuwa na ajenda ya taifa lakini pia tunahitaji sana kuwa na mpango wa kuonyesha watanzania wenyewe wanataka nini, maana hata watanzania wenyewe inaonekana kuna mahali wanaachwa nyuma na hawaelewi wanatakiwa kufanyiwa nini, nini kisifanywe.
Maana wakaibuka na hili, baada ya masaa machache hawalitaki tena, yani hata watanzania wenyewe ni matatizo tu, hatuelewi tunataka nini na kwanini.
Hataree hao Malalamiko FC 🤣🤣Wana tabu sana hawa bwashee
Jina Lao saivi ni Pingapinga fc au Malalamiko Fc🤣🤣
Umeongea jambo adhimu sana !Umenena kiongozi, yaani watz tunachanganya mno na mambo km haya ndo hufanya akitokea kiongozi mwenye kibri basi yanampa mwanya wa kujiamulia na kujiachia tu kwa jinsi yoyote anayotaka maana anajua watu wenyewe nao ni chenga tu
Nimeshaandika kwa kirefu huko juu...Leta hoja ziara ya hangaya ina faida gani kwa taifa?
Mfano mwepesi wa kitoto, umeotesha miche yako mahali na ukawaachia watoto wamwagilizie then wajue kuwa kamwe hutakuja tembelea eneo la tukio, sidhani kama utapata unachotarajia. Raisi ni kama Mama/ Baba wa Taifa. Hii ipo Tanzania, Africa, Ulaya, America mpaka Asia… we wa wapi? Raisi sio kukaa ofisini pekee…Kwani hata asinge tembele huo mradi nini kingetokea.. weka hoja nyingine hii ni utoto ..
Hii English ya Cambridge kabisa.The day mimi na akili yangu nikiipigia kura CCM, the unwalk shall went, the unseen shall saw, the unloughing shall cry...sijui kwakweli