Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

Nimeshaandika kwa kirefu huko juu...

1)MRADI WA MAJI CHEKERENI(BILIONI 520)

2)KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA KARIBU NA NAMANGA

Unataka RAIS asihudhurie zinduzi/funguzi hizo ilihali ni eneo mojawapo la kukutana nasi wananchi?!!!
Anasumbuliwa na stress za kuona Mama Samia anaupiga mwingi huyo! Achana nae🤣🤣
 
Mfano mwepesi wa kitoto, umeotesha miche yako mahali na ukawaachia watoto wamwagilizie then wajue kuwa kamwe hutakuja tembelea eneo la tukio, sidhani kama utapata unachotarajia. Raisi ni kama Mama/ Baba wa Taifa. Hii ipo Tanzania, Africa, Ulaya, America mpaka Asia… we wa wapi? Raisi sio kukaa ofisini pekee…
....wa ndotoni....anaishi ndotoni....
 
Maza anazunguka sana
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Dunia ya leo na teknolojia tulizonazo unaweza kuchapa kazi ukiwa popote hata ndani ya ndege au ndani ya gari. Unaweza kuongea na simu, kujibu na kutuma emails, kuandika ripoti hata kama haupo ofisini. Kwa hiyo hata kama kiongozi anazunguka anaweza kuwa anafanya kazi. Mtu anaweza kutembea na kutafuna siyo lazima asimame amalize kutafuna.
 
Umeanza vizuri umemaliza hovyo.. kwa sasa hakuna haja ya kuondoka na magari 100 , helkopta 3, bunduki 300, askari 500 na wote wanapewa allowance nje ya mishahara yao wakati angeweza kagua mradi akiwa dodoma.[emoji28][emoji28]

CCM watakuwa na kazi kubwa sana kwenye kampeni aisee, Magufuri alisema hasafiri sababu nchi yetu ni tajiri wenye shida ndio wanakuja, huyu tena naona kama anageuza hiyo kauli.

sasa sielewi hawa watu huwa wanapewa Ilani au Ilani ndio inajichanganya namna hii

Ccm hawajali kampeni tena kwa sasa, bali wanatumia mbinu ya Magufuli ya kiburi cha madaraka kujitangaza washindi kwa shuruti
 
Umeanza vizuri umemaliza hovyo.. kwa sasa hakuna haja ya kuondoka na magari 100 , helkopta 3, bunduki 300, askari 500 na wote wanapewa allowance nje ya mishahara yao wakati angeweza kagua mradi akiwa dodoma.[emoji28][emoji28]
Hapa umekuja eneo ambalo na mimi lilikua linanishangaza sana mkuu.

Mimi binafsi sina tatizo kabisa na ziara za mama hata azunguke kila siku yeye hiyo ndio kazi yake na nchi hii yote tumeimkabidhi na ni jukumu lake kuizungukia.

Tatizo langu ni je, hao watu zaidi ya 500 anaozungukaga nao wao hawana ofisi zao au kazi zao za kufanya? Yaani kuna watu wapo tu kwenye msafara hawana wanachofanya wao ni kukaa kwenye magari, kushuka, kukaa kwenye viti, kurudi kwenye gari, kuendelea kuzunguka kuanzia asubuhi mpaka jioni! Hivi hii style ya uongozi tuliiga kutoka nchi gani?

Huu utaratibu wa kwamba rais akienda mkoa fulani ni lazima aongozane na rundo la watu ambao hawahusiki kabisa kwa vyovyote na ziara hiyo mi naona niwa kizamani na unaicost nchi bila sababu zozote, na pia unasababisha misongamano, taharuki na bugudha kwa wananchi. Nadhani tufike mahali tuachane na haya ma convoy kama tulivyoacha mambo mengine ya kijinga.
 
Nakubaliana na wewe..100%

Yeye ni kiongozi... Kuzunguka azunguke tu tena Sana!!
Muhimu ni kuwa apunguze mizunguko ya kifahari!!
Msafara kwenye mizunguko yake haileti taswira njema!

NB: Kama tupo vitani tujulishwe!
 
Back
Top Bottom