Meko Junior
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 159
- 362
The day mimi na akili yangu nikiipigia kura CCM, the unwalk shall went, the unseen shall saw, the unloughing shall cry...sijui kwakweli
Acheni wivuHangaya hicho ndio anaweza pekee
Maza anazunguka sanaKuzunguka bila mpango mkakati ni kupoteza muda, mwisho tutaishia kudanganywa mafanikio ya mizunguko just kujustify matumuzi ya kodi ya wananchi.
Mfano tumeona ziara ya Arusha ni kwenda kumpokea Bananga na pengine amepewa fedha kuhamia ccm.. Haya ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Jiulize hii ziara ilikua na ukuhimu gani? Kuzindua daraja la mil 90..
Sio mchumi lakini ziara hii itakua imetumia zaidi ya Mil 200 hadi mil.500. Huu ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi waliolemewa na tozo za kuviziana.
Serikali haitaki kusema ukweli imekwamba wapi.
Sababu za kukwama ni kama zifuatazo
1. Imeongeza kuajiri bila kujali hali ya uchumi , sababu kubwa ukiwa ni kutaka kuonyesha awanu ya sita inajali wananchi.
2. Imerudisha wote waluoondolewa kwa vyeti feki bila kujali kama hawana vyeti au laa.
3. Imeongeza safari za nje ya nchi kwa mawaziri na Rais bila kujali hali ya uchumi.
4. Imerudisha utaratibu wa vikao kufanyika kwenye mahoteli na nje ya nchi.
5. Ukusanyaji wa kodi umeshuka kutokana na wafanyabiashara wengi kukwepa kodi
6. Serukali kufadhili shughli ambazo ni haramu kama kununua wapunzania, kupambana na vyama vya upinzani, etc
Pamoja na haya yote bado serikali inaingilia faragha za account za wananchi kwa kukata fedha kwenye account za bank na miamala ya simu.
Ushauri
Serikali ianze kubana matumizi kwenye zote na Rais awe mfano..hata kuacha kulipwa mshahara.
Mawaziri wasipokee allawance na mishahara yao ipunguzwe.
Wabunge wasichukue posho na mishahara yao ipunguzwe.
Safari zote za nje zisimamishwe.. allawance ya siku mtu akiwa nje ya nchi nasikia ni kati ya mil 10 hadi kil.20 kwa siku.
View attachment 1977823
Kweli wewe ni Tabutupu. Awamu ya tano alizunguka nchi nzima tulifaidika na nini kama Taifa.
Kuzunguka bila mpango mkakati ni kupoteza muda, mwisho tutaishia kudanganywa mafanikio ya mizunguko just kujustify matumuzi ya kodi ya wananchi.
Mfano tumeona ziara ya Arusha ni kwenda kumpokea Bananga na pengine amepewa fedha kuhamia ccm.. Haya ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Jiulize hii ziara ilikua na ukuhimu gani? Kuzindua daraja la mil 90..
Sio mchumi lakini ziara hii itakua imetumia zaidi ya Mil 200 hadi mil.500. Huu ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi waliolemewa na tozo za kuviziana.
Serikali haitaki kusema ukweli imekwamba wapi.
Sababu za kukwama ni kama zifuatazo
1. Imeongeza kuajiri bila kujali hali ya uchumi , sababu kubwa ukiwa ni kutaka kuonyesha awanu ya sita inajali wananchi.
2. Imerudisha wote waluoondolewa kwa vyeti feki bila kujali kama hawana vyeti au laa.
3. Imeongeza safari za nje ya nchi kwa mawaziri na Rais bila kujali hali ya uchumi.
4. Imerudisha utaratibu wa vikao kufanyika kwenye mahoteli na nje ya nchi.
5. Ukusanyaji wa kodi umeshuka kutokana na wafanyabiashara wengi kukwepa kodi
6. Serukali kufadhili shughli ambazo ni haramu kama kununua wapunzania, kupambana na vyama vya upinzani, etc
Pamoja na haya yote bado serikali inaingilia faragha za account za wananchi kwa kukata fedha kwenye account za bank na miamala ya simu.
Ushauri
Serikali ianze kubana matumizi kwenye zote na Rais awe mfano..hata kuacha kulipwa mshahara.
Mawaziri wasipokee allawance na mishahara yao ipunguzwe.
Wabunge wasichukue posho na mishahara yao ipunguzwe.
Safari zote za nje zisimamishwe.. allawance ya siku mtu akiwa nje ya nchi nasikia ni kati ya mil 10 hadi kil.20 kwa siku.
View attachment 1977823
Hahahaaaa!
Kuna watu wana tabu sana nchi hii.......tabu kubwa! Mama wasamehe tu, endelea na mambo yako kwani juzi tu hapa walitoka kusema, 'harambee wala hafanyi ziara nchini make, matatizo ya wananchi wake atayajuaje?'
Hao ndo binadamu (in AY's voice)
watanzania ni lawama tu,,mlisema amekaa nje ya nchi na ofisini..etu hatembelei wananchi..leo kafanya ziara ya sikutatu mohi na arusha .mmebaki kulalamika hivi nyie mkoje.Mbona magufuri alikuwa nakyembelea wananchi na convoy kubwa
Mimi huwa ni mpinzani sana lakini Rais ni muhimu atoke atembee mikoani kuona changamoto na kuchukua hatua..Hakuna maendeleo bila gharama..Nani kasema hayo unayo yasema.. achankuwasemea wananchi wanaouguza maumivu ya tozo.. usije laaniwa[emoji1787]
Basi hilo tatizo (kwa mtazamo wa mleta mada), limeletwa na nyie wenye 'kitu' kichwani maana ikulu ipo pale we mwenye kitu upo zako nanjilinji huko unahangaika na magugu. Mama akachukua nafasi, mkifika wenyewe wenye vitu bila shaka atawapisha. Hongera mkuu!muacheni azunguke si ndio anachokiweza jombaa kwani unafikiri kuna kitu mule?
Matumizi mabaya ya uhuru wa maoniKuzunguka bila mpango mkakati ni kupoteza muda, mwisho tutaishia kudanganywa mafanikio ya mizunguko just kujustify matumuzi ya kodi ya wananchi.
Mfano tumeona ziara ya Arusha ni kwenda kumpokea Bananga na pengine amepewa fedha kuhamia ccm.. Haya ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Jiulize hii ziara ilikua na ukuhimu gani? Kuzindua daraja la mil 90..
Sio mchumi lakini ziara hii itakua imetumia zaidi ya Mil 200 hadi mil.500. Huu ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi waliolemewa na tozo za kuviziana.
Serikali haitaki kusema ukweli imekwamba wapi.
Sababu za kukwama ni kama zifuatazo
1. Imeongeza kuajiri bila kujali hali ya uchumi , sababu kubwa ukiwa ni kutaka kuonyesha awanu ya sita inajali wananchi.
2. Imerudisha wote waluoondolewa kwa vyeti feki bila kujali kama hawana vyeti au laa.
3. Imeongeza safari za nje ya nchi kwa mawaziri na Rais bila kujali hali ya uchumi.
4. Imerudisha utaratibu wa vikao kufanyika kwenye mahoteli na nje ya nchi.
5. Ukusanyaji wa kodi umeshuka kutokana na wafanyabiashara wengi kukwepa kodi
6. Serukali kufadhili shughli ambazo ni haramu kama kununua wapunzania, kupambana na vyama vya upinzani, etc
Pamoja na haya yote bado serikali inaingilia faragha za account za wananchi kwa kukata fedha kwenye account za bank na miamala ya simu.
Ushauri
Serikali ianze kubana matumizi kwenye zote na Rais awe mfano..hata kuacha kulipwa mshahara.
Mawaziri wasipokee allawance na mishahara yao ipunguzwe.
Wabunge wasichukue posho na mishahara yao ipunguzwe.
Safari zote za nje zisimamishwe.. allawance ya siku mtu akiwa nje ya nchi nasikia ni kati ya mil 10 hadi kil.20 kwa siku.
View attachment 1977823
Ndo hicho tu ulichoona mkuu?!! Yaani hicho tu?!!! Kweli?!!!Anatumia bil 1 kuzindua mradi wa mil 90[emoji28][emoji28]
Hakika 🤣🤣Hahahaaaa!
Kuna watu wana tabu sana nchi hii.......tabu kubwa! Mama wasamehe tu, endelea na mambo yako kwani juzi tu hapa walitoka kusema, 'harambee wala hafanyi ziara nchini make, matatizo ya wananchi wake atayajuaje?'
Hao ndo binadamu (in AY's voice)
Ushakaa na kujiuliza ni pesa kiasi gani ilikuwa ikitumika kumfuata boss akiwa kwake kwa miezi kuruhusu kazi yeyote itekelezwe au ni wivu tu?Kuzunguka bila mpango mkakati ni kupoteza muda, mwisho tutaishia kudanganywa mafanikio ya mizunguko just kujustify matumuzi ya kodi ya wananchi.
Mfano tumeona ziara ya Arusha ni kwenda kumpokea Bananga na pengine amepewa fedha kuhamia ccm.. Haya ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Jiulize hii ziara ilikua na ukuhimu gani? Kuzindua daraja la mil 90..
Sio mchumi lakini ziara hii itakua imetumia zaidi ya Mil 200 hadi mil.500. Huu ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi waliolemewa na tozo za kuviziana.
Serikali haitaki kusema ukweli imekwamba wapi.
Sababu za kukwama ni kama zifuatazo
1. Imeongeza kuajiri bila kujali hali ya uchumi , sababu kubwa ukiwa ni kutaka kuonyesha awanu ya sita inajali wananchi.
2. Imerudisha wote waluoondolewa kwa vyeti feki bila kujali kama hawana vyeti au laa.
3. Imeongeza safari za nje ya nchi kwa mawaziri na Rais bila kujali hali ya uchumi.
4. Imerudisha utaratibu wa vikao kufanyika kwenye mahoteli na nje ya nchi.
5. Ukusanyaji wa kodi umeshuka kutokana na wafanyabiashara wengi kukwepa kodi
6. Serukali kufadhili shughli ambazo ni haramu kama kununua wapunzania, kupambana na vyama vya upinzani, etc
Pamoja na haya yote bado serikali inaingilia faragha za account za wananchi kwa kukata fedha kwenye account za bank na miamala ya simu.
Ushauri
Serikali ianze kubana matumizi kwenye zote na Rais awe mfano..hata kuacha kulipwa mshahara.
Mawaziri wasipokee allawance na mishahara yao ipunguzwe.
Wabunge wasichukue posho na mishahara yao ipunguzwe.
Safari zote za nje zisimamishwe.. allawance ya siku mtu akiwa nje ya nchi nasikia ni kati ya mil 10 hadi kil.20 kwa siku.
View attachment 1977823
😍Mimi huwa ni mpinzani sana lakini Rais ni muhimu atoke atembee mikoani kuona changamoto na kuchukua hatua..Hakuna maendeleo bila gharama..