Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

[emoji2][emoji2][emoji2] Maendeleo yataletwa kwa kutembea na kuomba misaada Nje...pathetic...
Hii nchi haiwezi kujiendesha kwa pesa yake yenyewe. Tulishakosea muda sana kutoka kwa viongozi wa mwanzo sana sana jiwe ndio alichanganya Mambo kabisa, kwa hiyo mama anavyojitahidi mkono uende kinywani msimbeze sana.
 
Wazalendo fake hao wasikusumbue, wakiambiwa watoe tozo hawataki, mother akienda nje kutafuta vijisenti hawataki! Scars alizoacha magu kwenye bongo za waTZ wengi ni tatizo kubwa, natamani watu wote tumuunge mkono Mama kipindi hiki anajaribu kuwabadili hawa watu waliojengewa ujinga kwa miaka 5, Eti MABEBERU, si ndiyo hao alikuwa anaenda kuwakopa mikopo ya mariba makubwa makubwa?
 
Umesahau Kama huyo jiwe wako ndo alisababisha hata mahindi tusiuze Kenya ,mama.ameenda Leo mahindi yanaenda bila shida bado wewe unaona anaenda kuomba msaada?
Lakini so alishangiliwa saana kwa hatua zile, vifaranga piga kiberiti, na mambo mengine, hata mwaka bado imekuwa kinyume?
 
Kungekuwa na uchaguzi wa haki huyu hawezi kupata hata 5% ya kura
1634492565236.jpeg
 
2025 Ishapita, huyo atayesimama against inabidi awe na kifua haswaa
Siku hazigandi!

Anayejuwa ni Mungu.

Yule wa awamu iliyopita si kuna watu walipendekeza aongezewe muda wa kuongoza, sasa yuko wapi?
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Maendeleo yataletwa kwa kutembea na kuomba misaada Nje...pathetic...
Haters mnavyojua kuyaongea mambo ndivyo sivyo.....aisee mnahuzunisha sana ila ndo hivyo wakati haurudi, dunia imeshaenda mbele sana na kulazimisha kuishi km tupo miaka ya 60 haiwezekani.........zile nchi zisizofungamana na upande wowote hazipo tena. Wakati wa kujitutumia 'kijima' umeenda zake
 
Kuzunguka bila mpango mkakati ni kupoteza muda, mwisho tutaishia kudanganywa mafanikio ya mizunguko just kujustify matumuzi ya kodi ya wananchi.

Mfano tumeona ziara ya Arusha ni kwenda kumpokea Bananga na pengine amepewa fedha kuhamia ccm.. Haya ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

Jiulize hii ziara ilikua na ukuhimu gani? Kuzindua daraja la mil 90..

Sio mchumi lakini ziara hii itakua imetumia zaidi ya Mil 200 hadi mil.500. Huu ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi waliolemewa na tozo za kuviziana.

Serikali haitaki kusema ukweli imekwamba wapi.

Sababu za kukwama ni kama zifuatazo

1. Imeongeza kuajiri bila kujali hali ya uchumi , sababu kubwa ukiwa ni kutaka kuonyesha awanu ya sita inajali wananchi.

2. Imerudisha wote waluoondolewa kwa vyeti feki bila kujali kama hawana vyeti au laa.

3. Imeongeza safari za nje ya nchi kwa mawaziri na Rais bila kujali hali ya uchumi.

4. Imerudisha utaratibu wa vikao kufanyika kwenye mahoteli na nje ya nchi.

5. Ukusanyaji wa kodi umeshuka kutokana na wafanyabiashara wengi kukwepa kodi

6. Serukali kufadhili shughli ambazo ni haramu kama kununua wapunzania, kupambana na vyama vya upinzani, etc

Pamoja na haya yote bado serikali inaingilia faragha za account za wananchi kwa kukata fedha kwenye account za bank na miamala ya simu.

Ushauri

Serikali ianze kubana matumizi kwenye zote na Rais awe mfano..hata kuacha kulipwa mshahara.

Mawaziri wasipokee allawance na mishahara yao ipunguzwe.

Wabunge wasichukue posho na mishahara yao ipunguzwe.

Safari zote za nje zisimamishwe.. allawance ya siku mtu akiwa nje ya nchi nasikia ni kati ya mil 10 hadi kil.20 kwa siku.

FB_IMG_1634207611629.jpeg
 
View attachment 1977823

Yuko kwenye kampeni za 2025 😁😁
 
Kweli wewe ni Tabutupu. Awamu ya tano alizunguka nchi nzima tulifaidika na nini kama Taifa.
 
Back
Top Bottom